Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,913
- 6,603
Habari za Jumamosi;
Wengi wameathiriwa na machaguo wanayofanya katika safari yao ya kitaaluma.Madhara hayo wameyapata ama kwa kufanya vibaya katika mitihani mbalimbali,kukosa ajira/fani au hata kujikuta katika aina ya kazi ambazo ama hawazifurahii au haziwapi kiwango cha mafanikio wanayohitaji katika maisha yao.
Pamoja na sababu nyingi moja ya sababu kubwa kabisa ambayo huchangia hali hii ni kukosa ushauri na ufuatiliaji mdogo kutoka kwa walimu, walezi na wahusika wengineo.
Umoja Colleges kwa kutambua umuhimu wa elimu na maarifa katika kumpa mtu fursa ya kuishi maisha ya furaha na mafanikio tumeanzisha huduma ya kipekee kabisa ya Career Counseling ambayo inalenga watoto wenye umri wa kati ya Miaka 9 hadi 16 kwa kundi la watoto na kuanzia miaka 17 hadi 35 kwa kundi la watu wazima.
Huduma zinazotolwa kwa kundi la watoto litahusisha huduma za Career Evaluation,Career Mapping,Strategy Pamoja Na Monitoring ambayo itakuwa katika mfumo wa 360 degrees yaani Yatachukuliwa maoni ya mzazi,mwanafunzi,mwalimu na ripoti nyinginezo ili kuweza kuelewa kwa kina uelekeo wa mtoto katika taaluma na maisha yake.
Kwa upande wa Huduma hii kwa wakubwa ie 17 hadi 35 maeneo yatakuwa ni yale yale ya Career Evaluation,Career Mapping,Strategy Pamoja Na Monitoring ila itajikita zaidi katika self evaluation kuliko others evaluation.Hata hivyo iwapo utapenda kufanyiwa evaluation na watu unaowaamini au watu wako wa karibu unaweza kufanyiwa ingawa haitakuwa ni lazima.
Huduma hii inapatikanaje?
Huduma hii inapatikana kwa njia ya SIMU au kwa NJIA ya internet au zote kwa pamoja
Mteja hataonana na Mtaalamu wake bali watakuwa wakiwasiliana Mara kwa Mara kwa kuzingatia malengo na matokeo.
Faida za huduma hii ni kwamba itakuwezesha kumuongoza mwanao au wewe kujiongoza mwenyewe katika uelekeo unaofaa.
Gharama za huduma hii ni nafuu.
Kwa wale waliohitimu masomo ya Sociology,Psychology,Education,Walimu wastaafu na ambao wangependa kufanya kazi za kuwa mentors kwa njia ya mtandao katika project hii mnaweza pia kutuma maelezo mafupi ya kueleza nia yenu ya kushiriki.
Huduma kwa Sasa inapatikana kwa wakazi wa Mikoa ya Arusha,Moshi,Dar es Salaam,Mwanza,Dodoma,Manyara,Mbeya,Morogoro,Iringa,Shinyanga na Geita.
Kwa mawasiliano zaidi kuhusu mradi huu tafadhali wasiliana nasi kwa email: info@umojacolleges.sc.tz
Kumbuka huduma hii ni muhimu sana hasa unapoelekea mwaka 2022.
Kazi iendelee