Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 22,855
- 32,657
Nilicho kuja kugundua imefikia hatua hata Wana Simba baadhi wameshindwa kujua tatizo la Simba lilipo.
Leo tumalize Utata, hivi tatizo la Simba kufanya vibaya ni nini hasa
Hypothesis.....
Tatizo ni uongozi , mdhamini .... wachezaji au ni kocha .,....pia tuambie how impact one another