Je, unafahamu janaba?

Ili kujisafisha yakupasa kufanya toba, sio kutawaza kama wanavosemaga hawa wanauamsho
We km huna elim ya haya mambo usiwapotoshe wenzio. Tupe andiko linalosema janaba inawahusu waislam tu hadi unatuita uamsho. Sio unajibu kwa kibri na kejeli.
 
Nia yako nini mkuu, kupata elimu au kutoa elimu kuhusu JANABA na athari zake?
JANABA si lolote Bali ni ile harufu ya papuchi tu mtu humfanya ajistukie! yaani ni sawa nakusema baada ya kunya*ta chooni usichambe/tawaza....ukiwa mkubwa utaona ni kweli! lakini siye utotoni tulipomaliza kujisaidia tuliacha hivo hivo ntye ntye matakoni wala hakuna shida, tena katika kujisafisha tulikaa kwenye mchanga chini unaburuza matako saaafi kabisa, au unapangusa Kwa majani mapana kama Tissue vile, balaa hayo majani yanapotoboka kidole kinapita.....
 
Kuna kitu unakitafuta wewe. Siku ukifufuliwa na kuwekwa mbele ya Muumba ndo utajua Nani ana hali ya chini. Nakushauri jibu swali lililoulizwa usilete ukorofi na km lengo kashfa hapa si mahala pake. Watu wanahitaji kuelimishwa na si kuleta dharau kwa dini wengine. Utazua mijadala hapa watu watamkosea Mungu utabeba hizo dhambi.
 
Jibu hoja kwama nimesema ndivyo sivyo, kanusha weka ukweli.

Nimesema, Janaba ni kitu kinachowahusu waislam kwakua dini yao imelitambua janaba na kuliwekea utaratibu wa namna ya kuondokana nalo. Ukristo unazungumzia uzizi kama dhambi tu, mambo ya kunawa au kuoga hayatajwi hata kqenyemagundisho kwakua sio sehemu ya dini. Kwa minajili hii JANABA ni suala la WAISLAM.

Kanusha!
 
Weka andiko kuthibitisha kua ni la waislam peke yao. Hata kutawadha pia ili kufanya ibada utasema pia ni kwa waislam peke yao. This is a way to all human being. Kasome vizuri kitabu chako au ukaulize wajuvi wa mambo wakubwa wako wa kanisa.
 
Janaba ni mambo ya waislam. Ukristo unalo neno moja tu, acha uzinzi!!
Janaba kwa ninavojuaga ni hali ya kuwa najisi kutokana na kuwa ktk hali fulani au kufanya jambo fulani ambalo kidini linachafua hekalu la Bwana.

Mfano kiislamu mwanamke kuwa period ni janaba
 
Huyu anaeleza kama vile maisha yote yanafanana. Kinachotakiwa ni mwili wote upate maji na wala sio lazima kujimwagia upande huu mara upande huu.
 
Acha mbwembwe wewe. Kuoga janaba kuna mambo ya lazima na yaliokuwa sio ya lazima lazima utambue hilo kwanza.
Mambo ya lazima.
1. Kukusudia (nia) ya kuondoa janaba.
2. Kueneza maji mwili wote.

Vilivyobaki vyote ni mambo ya kufanya kama utapenda. Kama kujisugua mwili, kuanza hayo unayoyaita makopo matatu, ndo maana unaweza kuoga baharini, mtoni au kwenye bomba la mvua hayo makopo utayapata wapi?
 
Weka andiko kuthibitisha kua ni la waislam peke yao. Hata kutawadha pia ili kufanya ibada utasema pia ni kwa waislam peke yao. This is a way to all human being. Kasome vizuri kitabu chako au ukaulize wajuvi wa mambo wakubwa wako wa kanisa.
We andiko lipi uliloweka? Acha kutetea uislam ilimradi, tumia akili na maandiko kujibu swali kama unaweza.
 
Nenda kasome Walawi 15:16 na 15:18
Walawi 15:16 - Biblia Habari Njema (BHN)
 
Tumia bafu la mvua kwisha kazi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…