Mkuu ndai, haya ndio nayasikia kwako leo!. Kuna kitu kinaitwa historia ya kweli na kuna kitu kinaitwa hadithi, au simulizi za kale!, au mapokeo na kuna kitu kinaitwa uthibitisho wa kisayansi na kiteknolojia!. Naomba usichanganye simulizi na mapokeo ukayageuza ndio historia!.Wadau, Amani Iwe Juu Yenu, Nimekua Nikifatilia Michango Mbalimbali Ndani Na Nje Ya Tanzania. Binafsi Napenda Siasa Na Harakat Zake, Kuna Kitu Kimejificha Na Hakisemwi Kuhusu Zanzibar! Jambo Lenyewe Ni Kua Kihistoria Znz Ilikua Nchi Ilopiga Hatua Africa Masharik, Wakat Huo Hata Kabla Ya Ujio Wa Sultan Visiwan Humo! Kuna Ushahid Kua, Technologia Ya Kutumia Taa Za Barabarani Zilitumika Zanzibar Karne Ya 18 Hata Kabla Ya Marekani! Kikubwa Zaidi, Zanzibar Ilikua Dola Iliyokua Chini Wa Utawala Wa Malkia "Balkis" Wa Eithopia. Enzi Za Nabii Suleimani: Kama Kuna Mtu Anakumbuka Kisa Cha Hudihudi Atakubaliana Na Mm Kua, Wakati Wa Mkutano Wa Nabii Suleiman, Ndege Hudihudi Alikua Sehem Ya Mashariki, Ambapo Jua Huchomoza Kuwahi, Huko Watu Wanaabudia Jua Wakiongozwa Na Malkia, Yani Malkia Balkis. Ndugu Zangu Wana Jamii, Zanzibar, Pemba, Kuna Sehemu Inaitwa "Muswalli:, Hapo Ndio Sehemu Ambapo Nabii Suleimani Na Watu Wake Walifikia, Na Kufanya Ibada(kuswali) Ya Mwanzo Visiwani Humo!. Kwa Mwenye Kuchimba, Anayajua Haya" Thanx.
Mkuu ndai, haya ndio nayasikia kwako leo!. Kuna kitu kinaitwa historia ya kweli na kuna kitu kinaitwa hadithi, au simulizi za kale!, au mapokeo na kuna kitu kinaitwa uthibitisho wa kisayansi na kiteknolojia!. Naomba usichanganye simulizi na mapokeo ukayageuza ndio historia!.
Ninachokijua ambacho hata sayansi inakithibitisha, Visiwa vya Zanzibar vilikuwa ni sehemu ya bara miaka milioni nyuma!, vikamegeka na eneo la kati likasombwa na mmomonyoko!, hivyo kwa Tanzania kuishikilia Zanzibar, kuitawala kwa mlango wa nyuma na hata kuiadabisha ikibidi, ni kutimiza haki yetu on what is our rights!.
Wavamizi Waarabu walipokuja na kuvitwaa as if havina wenyewe, wakakulia, wakazaliana, wakalowea na sasa baadhi yao wameanza kujisahau kwa kudhania visiwa hivyo ni mali yao ilhali wao ni watu wa kuja tuu!.
Mapinduzi Matukufu ya 1964, vilirudisha heshima ya visiwa hiyo iliyoporwa na madhalimu wale na muungano ukavirudisha visiwa hivyo kwa wenyewe halisi.
Mapinduzi Daima!
Muungano Udumishwe!
Mungu ibariki Tanzania.
Pasco
Wadau, Amani Iwe Juu Yenu, Nimekua Nikifatilia Michango Mbalimbali Ndani Na Nje Ya Tanzania. Binafsi Napenda Siasa Na Harakat Zake, Kuna Kitu Kimejificha Na Hakisemwi Kuhusu Zanzibar! Jambo Lenyewe Ni Kua Kihistoria Znz Ilikua Nchi Ilopiga Hatua Africa Masharik, Wakat Huo Hata Kabla Ya Ujio Wa Sultan Visiwan Humo! Kuna Ushahid Kua, Technologia Ya Kutumia Taa Za Barabarani Zilitumika Zanzibar Karne Ya 18 Hata Kabla Ya Marekani! Kikubwa Zaidi, Zanzibar Ilikua Dola Iliyokua Chini Wa Utawala Wa Malkia "Balkis" Wa Eithopia. Enzi Za Nabii Suleimani: Kama Kuna Mtu Anakumbuka Kisa Cha Hudihudi Atakubaliana Na Mm Kua, Wakati Wa Mkutano Wa Nabii Suleiman, Ndege Hudihudi Alikua Sehem Ya Mashariki, Ambapo Jua Huchomoza Kuwahi, Huko Watu Wanaabudia Jua Wakiongozwa Na Malkia, Yani Malkia Balkis. Ndugu Zangu Wana Jamii, Zanzibar, Pemba, Kuna Sehemu Inaitwa "Muswalli:, Hapo Ndio Sehemu Ambapo Nabii Suleimani Na Watu Wake Walifikia, Na Kufanya Ibada(kuswali) Ya Mwanzo Visiwani Humo!. Kwa Mwenye Kuchimba, Anayajua Haya" Thanx.

Poa mkuu historia nyingi imefichwa huko visiwani hadi sasa watoto wanajua kua alieongoza mapinduzi ya 12 january kuwa ni Karume kumbe hamna kitu ni Okello wa Uganda nadhani ni mda muafaka wa kuwaambia watoto ukweli.
Hii historia ndo naisikia kwako mkuu.na sijui umeitoa wapi na nan walioandika.ni muunganiko wa hadith za kale za once upon a tym au.maana unataka kuwa mfalne juha mbele ya waelevu.nafikir ww endelea na harakat za mashiko katika kupigania haki ya wazanzibar sio kuleta sarakasi za polojo hapa.
Pia tunaambiwa kwamba Karume Snr aliuwawa na MAADUI WA MUUNGANO. Kumbe ukweli ni kwamba aliuwawa na kijana Hamud kulipiza kisasi kwa Karume kwa kumua baba yake Hamud.
Mkuu ndai, haya ndio nayasikia kwako leo!. Kuna kitu kinaitwa historia ya kweli na kuna kitu kinaitwa hadithi, au simulizi za kale!, au mapokeo na kuna kitu kinaitwa uthibitisho wa kisayansi na kiteknolojia!. Naomba usichanganye simulizi na mapokeo ukayageuza ndio historia!.
Ninachokijua ambacho hata sayansi inakithibitisha, Visiwa vya Zanzibar vilikuwa ni sehemu ya bara miaka milioni nyuma!, vikamegeka na eneo la kati likasombwa na mmomonyoko!, hivyo kwa Tanzania kuishikilia Zanzibar, kuitawala kwa mlango wa nyuma na hata kuiadabisha ikibidi, ni kutimiza haki yetu on what is our rights!.
Wavamizi Waarabu walipokuja na kuvitwaa as if havina wenyewe, wakakulia, wakazaliana, wakalowea na sasa baadhi yao wameanza kujisahau kwa kudhania visiwa hivyo ni mali yao ilhali wao ni watu wa kuja tuu!.
Mapinduzi Matukufu ya 1964, vilirudisha heshima ya visiwa hiyo iliyoporwa na madhalimu wale na muungano ukavirudisha visiwa hivyo kwa wenyewe halisi.
Mapinduzi Daima!
Muungano Udumishwe!
Mungu ibariki Tanzania.
Pasco
Nijuavyo ni kuwa hata Tanganyika kabla ya kuwa Tanganyika ilikuwa himaya ya Zinjbar.
Yerick [USER=12004 said:Pasco[/USER]