Je, una sumbuliwa na haya..[emoji116]

jabir paulah

Member
Aug 14, 2019
6
10
DONDOO YA LEO
Matatizo mengi ya kiafya huwakumba watu wote. Kuna matatizo mahususi kwa wanaume pekee pia wanawake.

Wanaume wamekuwa watu wa kutotilia manani dalili wanazozipata hivyo kushindwa kuwaona wataalam wa afya. Haya ni baadhi matatizo yanayokuja kwa wanaume katika vipindi tofauti.
1.Kupungukiwa au kutokuwa na nguvu za kiume.
2.Kuwahi kifika kileleni
3.Matatizo ya tezi dume.

Kwa ujumla hizi ni dalili ambazo mwanaume anaweza kuzipata
1.Maumivu wakati wa kukojoa
2.Kuhisi kama moto unachoma wakati wa kukojoa
3.Maumivu ya nyonga
4.Maumivu ya tumbo
5. Kukojoa mara kwa mara
6.Mkojo kutoka bila idhaa
7. Uume kukosa nguvu wakati wa tendo
8.Kuhisi kuwa kila unapokojoa mkojo hauishi
9.Hali ya ghafla ya kushindwa kukojoa
10.Maambukizi sehemu ya njia ya mkojo
11. Damu kwenye mkojo

Ukiwa na mojawapo ya dalili hizo tafadhali wasiliana nasi 0653216061 #WhatsApp
men-s-sexual-health.jpeg
 
Back
Top Bottom