mindpower JF-Expert Member Oct 1, 2016 1,049 1,211 Jun 6, 2017 #1 Kila jambo na wakati wake na umri unaonyesha, Shudia hapa ujue wewe na umri wako kama umeachwa nyuma au uko mbele kiuchumi!!
Kila jambo na wakati wake na umri unaonyesha, Shudia hapa ujue wewe na umri wako kama umeachwa nyuma au uko mbele kiuchumi!!
mindpower JF-Expert Member Oct 1, 2016 1,049 1,211 Jun 15, 2017 Thread starter #3 Stage 3 ndo napambana nayo mkuu!
Mwifwa JF-Expert Member Apr 3, 2017 48,334 125,579 Jun 15, 2017 #4 Bado sijachelewa japo dakika hazisimami
Ngosha255 JF-Expert Member Mar 29, 2013 430 512 Jun 15, 2017 #5 Hizi threads za umri na uchumi naona daily zinanipa stress tu
Perfectz JF-Expert Member May 17, 2017 9,015 28,128 Jun 15, 2017 #6 Kwa kujitazama mimi umri na uchumi wangu haviwiani kabisa.Umri mkubwa uchumi mdogo.Hii yote ni kwa sababu ya ccm na sera zao mbovu
Kwa kujitazama mimi umri na uchumi wangu haviwiani kabisa.Umri mkubwa uchumi mdogo.Hii yote ni kwa sababu ya ccm na sera zao mbovu
Ambiele Kiviele JF-Expert Member Dec 29, 2014 15,267 29,906 Jun 15, 2017 #7 Mmoja Kati Ya Kumi Nchin Tz