Je, umewahi kuwala samaki hawa?

ndo umeishia apo kufikiria!
Wewe unaongea kwakua hujawala wa Tanganyika hata kama umekula ni mgebuka tu!
Nimewala samaki aina nyingi sana wa Bahari ya indi huko visiwani..Ziwa victoria nimewala sana pia mwanza
 
Mwalua
Ngalengale
Mzia
 
Kwetu hatuli samaki aina ya Mkundaji mizimu haitaki
 
Nyama ya papa umeipata wapi mkuu?
huku wanauza wa kuanika na chumvi we unamnunua unaenda mpika either kwa kumchoma kwa mchuzi wa embe tunaita zodo au kwa nazi. Anauzwa hata kwa vipande
 
Mkuu kuna huyu samaki kwa kiingereza anaitwa "bluefin tuna"ndio samaki gani hapo kwenye list,kwa anaejua please(ndio samaki ghali kuliko wote duniani)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…