Aaaahhaa...!!aina bana
SongoroHabari?
Niko bara huku ndani ndani, nimewakumbuka sana samaki wa maji chumvi husunani nguru na kolekole:-
Ongezea majina ya samaki wa baharini unao wakumbuka:-
1. Nguru
2. Kolekole
3. Papa
4. Jodari
5. Sehewa
6. Pandu
7. Kaji
8. Kamba
9. Koana
10 Ngisi
11. Dome
12. Pweza
13. Tasi
14. Changu
15. Chewa
16. Chuchunge
17. Mkunga
18. Koazi
19. Pono
20. Hongwe
Wengi wamesha kula hiziSangara
Kambale
Kamongo
Ngogogo
Sato
Perege
Utakuwa unaumwa na mavi weweSamaki wanatoka ziwa Tanganyika tu uliobaki uchafu...
Wewe huumwi?Utakuwa unaumwa na mavi wewe