Je umewahi kupata maswahibu haya?

Je umewahi kupata maswahibu haya?

Bondpost

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
7,097
Reaction score
10,613
Ndugu zangu hebu tupia janga lililokukuta kati ya haya yafuatayo na ulijinasua vipi?

1. Ukiwa main speaker halafu sehemu za siri zinakuwasha balaa!

2. Upo kwenye basi unaelekea mkoani pembeni kuna mrembo wa haja na ushuzi umekukamata au unataka kubanja! !

3. Umeingia public toilet ukakuta mtu (anonymous ) kamwaga uharo na hakuna maji unaamua kuahirisha zoezi unatoka unakutana na demu unaemfukuzia anasubiri kuingia.

4. Umeingia toilet uko safari tumbo limechafuka unamwaga nyesi ya kutosha hamadi. .... maji hakuna wala toilet paper na basi ndio linapiga honi muendelee na safari. .....

5. Una demu wako mlikutana ughaibuni ila wewe una mama kubwa inakupenda ulikutana nayo muziki uliporudi likizo na unaifukunyua kilaana laana binti anakutambulisha ndiye mamaye. .... na jinsi mama anavyokujua! !!'

6. Unapogundua mama yako mzazi ana kiserengeti boy umri wa mwanao wa kwanza na dingi yupo.
7. Umepanda daladala kwa mbwembwe ukajibizana kinomanoma na kondakta na driver unagundua wallet umeiacha nyumbani na huna hata kumi mfukoni. .......

Mdau hebu tupaeane maujuzi yakikukuta haya utafanyaje?

Waweza tupia na maswahibu mengine wadau.
 
hizo zote ni hatari... omba usikutane nazo aisee.... chezea aibu veve
 
Back
Top Bottom