Je, umewahi kughairi mechi ya kula/ kuliwa tunda? Ilikuwaje?

Ah, mkuu we unaongea tu. Mi mwezi uliopita nimetimba loji na demu, sasa ile tumeingia tu room hatujafanya chochote ndio nataka niagize vinywaji namuuliza demu unatumia kinywaji gani..?

Demu ananijibu "Daah.. yani hapa ata sijui ninywe nini maana nna kama wiki sisikii ladha wala harufu ya kitu chochote..!" Wee... nikauona uviko huu hapa mwanangu.. nilivyomtoka pale ni Mungu mwenyewe anajua.
 
Ustadhat hijabu Mtoto shombe

Nilimfukuzia kinoma huyu ustadhat Kama miaka mi wili hivi ni ustadhat swala 5.MUNGU si athumani ikaja akajaa nimfate mbagala.nikamfata nikamuona anasindikizwa na washkaji wawili ila poa tu sikujali...
Mweeeeh
 
Nakumbuka kipindi hicho Niko Mwaka wa Mwisho Chuo,Sasa Kuna Demu Ameanza Mwaka wa kwanza Basi nikamtokea Demu, baada ya Muda Yule Demu Akakubali Nikawa Niko Naye kwenye Mahusiano. Demu Akatokea kunipenda kweli yaaani, Nakati Mimi Sikuwa Na Mapenzi ya dhat kwake nilitaka nipige nisepe.

yule Demu Alikuwa Bikra hajawahi Kabisa kufanya Mapenzi, nakumbuka Alikuwa Na Aibu Sana Aisee Ata Tukiwa wote Mtoto Ukimshika Kiuno Mtoto Anatetemeka Balaa, nikawa Na fosi game, Akawa Anakataa Anasema Mpaka nimuoe, Siku Na Hiyo Mtoto Akaja geto Nikajua Mtoto Anataka Mashine, Demu Akawa tayari kunipa k,ila Akaanza kunipa lecture Kama leo nimeamua kukupa Bikra yangu,

Nimejitunza kwa miaka Mingi nikitegemea Mwanaume Wangu wa Kwanza Ndiyo Awe mume Wangu kwa Sababu Ananipenda Akasema yupo tayari kunipa ila Nikija kumuacha Au kumsaliti Basi Atajiua,na Ataandika barua ya kwamba Mimi ndiyo Chanzo Cha yeye kujiua,

Aisee Sikuwa Na Ujasiri Tena wakufanya Mapenzi Naye Dem Anaongea Hapo Huku Anatoa Chozi,nikakaa kwenye bed nikawa najifikiria.Bahati nzuri Mother Ananipigia Simu nikawa Naongea Naye, ikabidi nitumie ile Simu niliyopigiwa kumwambia bi Mkubwa Anaumwa Ameniomba nimpeleke hospital, Mwisho wa Siku nikawa nampotezea Kidogo dogo Mpaka tukaachana mazima.
 
Baada ya kufuatilia uzi wa kula tunda kimasihara hapa kwa muda mrefu, nimejikuta nikikumbuka matokeo hasi ya huu umasihara. Moja ni kupewa tunda alafu kwa sababu kadha wa kadha unajikuta unahairisha ama kugahiri kula tunda...
glitoris ndio nini?
 
Unapate hasara kiboya wewe, chafua hiyo room.
Mimi kuna rafiki yangu nilimuomba room yeye alijiona mjanja akasema we leta hela nakuachia room mpaka asubuhi kweli nikampa hela ila kesho yake alichokikuta chumbani kwake aliniona mtu wa ajabu sana
Mambo ya hovyo sana haya uliyoyaandika hapa hadi aibu naona mimi.
 
Nakumbuka kipindi hicho Niko Mwaka wa Mwisho Chuo,Sasa Kuna Demu Ameanza Mwaka wa kwanza Basi nikamtokea Demu, baada ya Muda Yule Demu Akakubali...
Wewe muhuni sana

Ukute katolewa bikra na mimba juu na mwamba kapita
 
Baada ya kufuatilia uzi wa kula tunda kimasihara hapa kwa muda mrefu, nimejikuta nikikumbuka matokeo hasi ya huu umasihara. Moja ni kupewa tunda alafu kwa sababu kadha wa kadha unajikuta unahairisha ama kugahiri kula tunda.

Je, umewahi kupewa/kutoa tunda lakini ghafla ukajikuta una ghairi mkiwa tayari kwa kuta za nne kwa nne? Je ilikuwaje? Na sababu ilikuwa ni nini? Ulitumia mbinu gani kukimbia/kukwepa mgengedo?

Mimi nina kisa hiki. Mwaka fulani nikiwa kijana mbichi kabisa na ambaye sikuwa nayajua mambo ya wakubwa vizuri, nilitokea kumpenda binti mmoja hivi ambaye kwa macho yangu alikuwa kisu hatari. Hata hivyo, pamoja mapenzi motomoto tuliyokuwa nayo, alikuwa anakataa katu katu tusilionje tunda.

Hali hii iliendelea kwa muda mrefu ila siku ya siku nikaja kubahatisha, akakubali tukayafanye yetu ya kuvunja amri ya sita. Furaha yangu hii ya kukipata kile nilichokitafuta kwa muda mrefu haikudumu sana.

Siku hiyo, binti wangu kisu kabisa alikubali kuja chumbani kwangu tena asubuhi kabisa wenzangu wakiwa tayari wameingia darasani kuwahi kipindi cha saa moja cha Dr. Lwaitama.

Fursa hii kwangu sikutaka kuichezea, haraka sana tulivuana nguo na hasa mm nilivua kwa haraka zaidi kwa sababu jogoo alikuwa juu na hamu ya kudonia mbegu ilikuwa juu mno. Hatimaye binti alimaliza kuchojoa nguo na nikauona uzuri wake vizuri ulivyokuwa umeradadi kuanzia kifuani mpaka mapaja yake.

Alilala chali kwa kitanda chetu cha chuma na kwa sababu kilikuwa kidogo na chembamba sana sikuwa na mahali pa kukaa zaidi ya kuangukia juu ya kifua chake.

Lahaula! Katoto haka kalikuwa ka moto hatari. Wakati tukiendelea na cheko za hapa na pale, ulifika wakati wa mm kujilipa kile ambacho nilikihangaikia kwa muda mrefu. Binti huyu kisu hakuwa na zuio, aliniruhusu kuelekea eneo la chini ili niweke mkunyenge kwa rafiki yake.

Nilichokiona, ndio msingi wa uzi huu. Bila kujua, nilijikuta nimesinyaa na mkunyenge kunyong'onyea kabisa. Binti huyu pamoja na uzuri wake wote, eneo lake pendwa lilikuwa na ajabu yake. Kwanza, alikuwa na glitoris kubwa hatari kiasi kwamba ilizidi kuta za K yake na kuangukia kwa pembeni kabisa.

Ile hali ilinifanya kupoteza hamu ghafla na kujikuta natamani nitoke juu yake ghafla. Ili nisimkwaze, nilijifanya kusikia maumivu ya kichwa ya ghafla hivyo kutoka na kutafuta maji ya kunywa ya uongo na kweli. Aliishia kunipa pole na mchazo ukaishia hapo.

Tuliendelea na urafiki wa kawaida mpaka miaka yetu 3 ya kusoma ilipokwisha. Hata hivyo huyu binti alikuja kuolewa na sasa ana watoto. Wanaume watu hatari sana!!

Je kwako una kisa chochote ambacho kiliwahi kukuondoa kwenye uwepo wa kula/kuliwa tunda? Ulifanyaje na matokeo yake yalikuwa? Tafadhali tupeane uzoefu hapa.
"Hata hivyo huyu binti alikuja kuolewa na sasa ana watoto. Wanaume watu hatari sana!!"

Dah ndio ubaya wa kuoa mtu ambae kuna mtu mwngine alilala nae. Full imagination
 
Back
Top Bottom