Je! umewahi ku-order kitu ebay au amazon, posta hakikufika ?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
jamani kuweni makini sana na hawa watu. yani mtu mimi na rafki yangu tulichanga hela tununue ps4 ebay tukalipa hela yetu tukiwa tunausbir mzigo kwa hamu .cha ajabu hadi leo tokea november hamna kitu supplier tumewasiliana nae kashatuma mzigo na hata tullpofanya tracking mzigo umefika tz sasa hapa posta ndio penye tatizo. hawa watu ni wezi au je hii situation wangapi tumo?
 
Posta wanatabia hiyo,supplier wa ebay hasa wale wenye rate zaidi ya 90 percent ni waaminifu,dawa ni kuwashitaki posta walipe gharama pamoja na usumbufu.
 
Tatizo ni posta mkuu mimi tatizo hilo limeshanikuta sikulifuatilia sababu mzigo wenyewe ulikuwa wa thamani ndogo
 
Kama ulilipia kupitia PayPal fungua dispute ya hiyo transaction urudishiwe hela zako,,mzigo haujawa delivered kwahiyo kosa sio lako, dispute hiyo transaction mapema na utapewa refund..siku zote unavyofanya shopping online unatakiwa ujue namna ya kuepuka hasara pale usipopokea mzigo wako. Ukifungua case watafanya utafiti na watona kweli haukupokea huo mzigo so lazima wataDecide in your favour.
 

watwangie hapa TPC - Contact Us

mzigo huo kama umeu track upo bongo hauwezi potea kizembe hivo
 

Inatokea mara nyingi, mimi binafsi nimesimamisha kabisa kununua vitu ebay kwa sababu ya hiyo.

Lakini kwa uzoefu wangu shipments zinazipotea ni zile FREE SHIPING ambazo zinatumwa bila tracking number. Kama ulilipia shipping na ukapewa tracking number fuatilia posta head office lazima itapatikana
 

mimi nimeagiza mizigo mingi mwaka jana, hakuna hata mmoja uliopotea tena most uwa ni free shipping, na nnaipokelea posta mwanza, kitu ambacho uwa kinaniboa ni kuchelewa kufika japo uwa unafika dar es salaam post office mapema mwanza inachelewa kufika, lakini sijawai poteza hata mzigo hata mmoja, nimenunua vitu vidogo vidogo mpaka vikubwa
 
Pole sana ndugu! watanzania ndo wabaya ingawa sio maeneo yote mi binafsi huwa mizgo inafka salama tatizo wanafukunyua sana afu awafung vzuri hawa posta wako rough san! naona wewe mizgo yako uwa inafikia mikonon mwa kaka jambazi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…