Papillon 1906
Senior Member
- Jun 19, 2025
- 117
- 387
Katika safari ya maisha uwezi kufanya mambo yote kwa usahii lazima kunapahala utaghafilika na kukosea katika uwajibikaji.
Inafaa mtu anapokosea apewe nafasi nyingine ya kuweza kubadilika na kufanya vizuri.
Je kipi ulifanya baada ya kupewa nafasi ya pili?
Inafaa mtu anapokosea apewe nafasi nyingine ya kuweza kubadilika na kufanya vizuri.
Je kipi ulifanya baada ya kupewa nafasi ya pili?