Je! umeshawahi kosea kupiga/kupigiwa simu na (ME/KE) Ikawaje?

Hehe sound hii boss
Alikosea namba; akawa ananitukana eti namfundisha mme wake tabia mbaya! Nikamweleza kuwa kakosea namba yeke kaendelea kunikomalia ...
Siku ya siku nikamuita aje ofisini wakati nafunga ... kweli akaja! Ilibidi atumike ... na kiukweli alikuwa anayaweza!
 
Imewahi tokea hii ...mdada sijui mmama kakosea namba tena bora angepiga kanitumia sms kama ananipa taarifa ..maandishi makubwa kayabananisha neno la mbele kaweka nyuma la nyuma kaweka mbele...alafu anatuma mfululizo...nikaona isiwe kesi nikampigia ..uwiiii nikakutana na msandawee anatafuna maneno simuelewi..ile siku nilichoka aisee. ..alafu ilikua asubuhi nikahisi siku yangu siwezi imaliza salama..khaa!!
 
Mimi kuna dada alikua anamtumia meseji bwana wake akakosea namba ikaja kwangu, aisee kama ndio ningeikuta kwa mume wangu ile meseji nadhani pangechimbika.
 
Kuna manzi alikoseaga namba akanitumia pesa laki tatu, ktk kujiuliza nani kanitumia gafla simu ikaingia kua amekisea muamala so nimlushie laki mbili then moja nikbaki nayo nikaona isiwe kesi kweli nikamludishia Basi since iyo siku uwa tunawasiliana mala moja moja mpaka leo,

Lingekua dume jezangu lingepambana na hali yake
 
Naomba na mimi nikosee tuongee cha kwetu
 
Yaani Saana kupigiwa wrong number ni totoz lkani zote sijui zilipotea wapi tena maana kipindi sipo namawasiliano nao tena.
 
Mimi kuna mdada wa kichaga alikuwa amem-miss mpz wake ambaye walikuwa wamekorofishana...
Baada ya hapo yule dada aliweza kubadilisha maisha yangu kabisa
 
I forward na kwetu wana nzengo tujionee
Mimi kuna dada alikua anamtumia meseji bwana wake akakosea namba ikaja kwangu, aisee kama ndio ningeikuta kwa mume wangu ile meseji nadhani pangechimbika.
 
chief kama bado ipo nifanyie 50 basi ya chap
Kuna manzi alikoseaga namba akanitumia pesa laki tatu, ktk kujiuliza nani kanitumia gafla simu ikaingia kua amekisea muamala so nimlushie laki mbili then moja nikbaki nayo nikaona isiwe kesi kweli nikamludishia Basi since iyo siku uwa tunawasiliana mala moja moja mpaka leo,

Lingekua dume jezangu lingepambana na hali yake
 
Tupe Cd kwa urefu ndugu, hii trailer si haki yetu
Mimi kuna mdada wa kichaga alikuwa amem-miss mpz wake ambaye walikuwa wamekorofishana...
Baada ya hapo yule dada aliweza kubadilisha maisha yangu kabisa
 
Alikosea namba; akawa ananitukana eti namfundisha mme wake tabia mbaya! Nikamweleza kuwa kakosea namba yeke kaendelea kunikomalia ...
Siku ya siku nikamuita aje ofisini wakati nafunga ... kweli akaja! Ilibidi atumike ... na kiukweli alikuwa anayaweza!

Ha haaaaa ...Kumbe yeye ndio anatabia mbayaaaa
 
Daah Mimi kuna dada alikuwa anamtafuta Anord akakosea akanipigia mimi. Yaani zile sifa nilikuwaga nazisoma kwenye riwaya ndio za kwake. Sauti kama kinubi, nilijaribu bahati yangu nikashindwa, Ila nimemuweka reserve. Ngoja mambo yakae dawa.
 
Back
Top Bottom