Mkuu unaonekana una msongo wa mawazo sana!Naam kwa mtu yeyote mwenye utashi,hapan shaka kuna wakati keshajiuliza swali hili.
Je?jibu lake ni lipi hasa?
So standing yako iko wapi?Biblically
Nipo hai kwa kuwa Mungu ameruhusu niwe hai leo, anafahamu bado nina mengi ya kuyatimiza hapa duniani kuliko mbinguni. Jina la bwana lihimidiwe.
Scientifically
Nipo hai kwa kuwa dunia ni kama equilibrium, ina hangaika kufanya msawazo.. Na mimi siyo element ya kuondoa ili ibalance. Muda ukifika nature will kick me away.
Nipo hai, kwani Mungu anahitaji nizidi kumuabudu yeye, hadi hapo ataponichukua
Lengo kuu la kuumbwa mwanadamu ni kumuabudu Muumba. Hao hawajui lengola kuumbwa kwaoWasiomuabudu nao wako hai...
Inategemea na muuliza swali mantiki ya swali lake limeegamia wapi.. Kama kidini achukue jibu langu la kidini, kama kidunia achukue la kidunia. Mimi binafsi vyote tumeumbiwa dini na duniaSo standing yako iko wapi?
Scientific or biblical?