Hapo ndio umuhimu wa admin unapoonekana, inatakiwa kama wewe ndio mwenye computer ni vizuri u-manage administrator account kwa vile utakavyoona inafaa.
Administrator account ikiwa na password hutaweza kuingia, njia nayoifahamu ni kutumia WPR(Windows password remover). Una boot from CD au popote ilipo WPR utafuata maelekezo ni rahisi tu kuitumia.