Je umesahau au hujui password account ya windows xp?? Karibu

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,287
Samahani kama ilishafika hii trick hap jf ila kama bado basi acha niwape hii

1. Right-click on the “My Computer” icon on the desktop OR in the Start Menu.

2. CHAGUA option “Manage”.

3. On the left pane expand the “Computer Management (Local) tree (if it is not already expanded)

4. Double click “Local Users and Groups” option From “System Tools” tree.

5. KISHA CLICK the “Users” option.

6. Hapa utaona list ya watumiaji wa hyo computer , such as Administrator, Guest etc.

7. Right click the “Administrator” na kisha chagua “Set Password” option.

8. itafika meseji ya onyo , Click on proceed.

9. itakutaka “New Password” and “Confirm Password” .

10. After entering the password click on “OK”. The password is changed. kwaheriiiiii

naenda zangu mliman scity.....
 
...kwenye safemode unatumia administrator account ambayo by default haina restrictions

thanks. Nimejaribu hata kwenye windows 7 imekubali. But what if administrator account ina password? Nitaboot vipi kwenye safemode? Pia nina swali lingine mkuu. Niliwahi kukutana na computer hii trick didn't work ilikuwa inakataa, it is like waliweka security. Is there a way naweza kurestrict password isibadilishe au kutolewa kwa namna hii? Maana hii ni hatari pale ambapo mtu asiyekuwa na nia nzuri na computer yako akikaa kwenye computer yako
 
Hapo ndio umuhimu wa admin unapoonekana, inatakiwa kama wewe ndio mwenye computer ni vizuri u-manage administrator account kwa vile utakavyoona inafaa.
Administrator account ikiwa na password hutaweza kuingia, njia nayoifahamu ni kutumia WPR(Windows password remover). Una boot from CD au popote ilipo WPR utafuata maelekezo ni rahisi tu kuitumia.
 
ahsante mkuu. Nimekusoma. Vipi kuhusu kuweka security mtu akitaka kubadilisha password kwa njia hii iliyokuwa posted igome.nakumbuka nimewahi kukutana na computer imewekwa security.yani ukitumia hii njia inagoma na kuleta error message fulani.unafahamu nawekaje hivyo?msaada mkuu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom