Je, umekuwa ukiwaza na kuwazua ni zawadi gani utampa umpendae/wapendwa zako?

Ivi kwa tulio mkoani tunapataje hii huduma ya kuchora na inifikie? Boss?
Tunakutumia mkuu popote pale, tunachora mpaka kazi inakamilika ikifikia hatua yakuframe tunakutumia sample ya kazi yako ilivyotoka then tutakuomba ufanye malipo nakuiframe kazi kisha nakuituma, tumefanya kazi zakutosha tu mkuu za mikoani na zimewafikia wahusika
 
Back
Top Bottom