Dah!, hii nakumbuka ilinitokea siku moja, nikakutana na demu ana very romantic voice nilipomuuliza upo wapi akajibu yupo ktk mkoa mkoa ambao ndipo nimemalizia Chuo. Kipindi hicho na mimi nilikua nina kimeo ambacho inatakiwa nikakitoe kama wiki moja inayofuata. Basi ikawa ni full kucare na full kuumia nikisikia sauti yake. Dah kimbembe kikaja siku nilipomuona, lol demu alikua mbaya mpaka nikaona aibu ila nilimudu kuzungumza naye kisha nikamwambia ukweli tu, tuwe kaka na dada. Sasa kimbembe kikaja kutokea....