Je, ulishawahi kuaibika katika mazingira mabaya?

Utakuwa wa kanda ya ziwa wewe
 
 
Hahahaaha
 
damn
 
Hahahah
 
aifute kbla hajasoma hhhh
 
Kuna nyakati around 2006 nikiwa elementary school msimu was visiting day's nilitembelewa na washua, baada ya tukio jioni yake nikawapanga washakaj zangu tuzame bwenini na misosi iliyobaki kinyume na utaratibu. Dah! tukashikwa baadae na Matron tukajua kuwa tutapewa adhabu za kawaida mambo yaishe, aisee kumbe tunatakiwa kula vyakula vyote tulivyobeba as a group na vikiisha tumesamehewa. Sitakaa nisahau wahuni tulivyokula mpaka tukaanza kutia aibu na vilio, tulilia maana tumeshiba, kuvimbiwa na bado midomi havishuki mezani ndio mazaga kama yote bado vinywaji. Nakumbuka ilibidi nilazwe hadi kutapishwa na nurse maana nilianza kukosa hadi pumzi. Kwa kweli tuliabika sana na wana tulipata bahati tukio kuwa lilitokea dormitory ya boys only, mademu walikuja kupewa story tu. Na ndio mara ya kwanza kujishuhudia kuwa mtu anaweza kula mpaka kulia bila hata kupigwa wala kuumizwa popote. Kwa kweli tusiwe na mazoea ya adhabu, unaweza kupewa task ya kawaida ikakupa shida mpaka ukapagawa.
 
Leo jamaa yangu noma sana tupo kwenye lift tunapanda ghorofani ghafla kunguni anamuibukia kwenye shati anapiga round... mdau wangu akamputa kunguni akaanguka sema ukomavu ni hatari jamaa anajidai mdudu tu wakawaida... nilicheka sana
 
 
 
 
my ribs
 
Leo jamaa yangu noma sana tupo kwenye lift tunapanda ghorofani ghafla kunguni anamuibukia kwenye shati anapiga round... mdau wangu akamputa kunguni akaanguka sema ukomavu ni hatari jamaa anajidai mdudu tu wakawaida... nilicheka sana
 
We jamaa Mungu akubariki... umenifanya nicheke sana...
 

 
Hii post inanikumbusha Heaven Sent
 
Miaka hiyo darasa la saba kila ukiingia hotelini nakuta menu kuna kitu ina inaitwa slesi nikawa najiuliza slesi ndio msosi gani huo?
Siku hiyo nimepata ka hela flani nikazama hotelini kwa mkwala nikamuita muhudumu kaja nikamwagiza chai na slesi hapo nna usongo na hiyo slesi balaa. baada ya muda namcheki muhudumu anakuja na chai na vipande vya mkate akaweka mezani ile anataka kusepa nkamstua kwa mkwala "we hebu sogea hapa" kwa sauti ya chini nikamwambia we mi nimeagiza chai na slesi we mbona umeleta mikate? Sasa ye akajibu kwa sauti ya juu "we vp sasa slesi si ndio mikate" wateja wote wakasikia na Mimi nikashindwa kubisha nilikuwa mdogo balaa
 

Ningekuwa mhudumu ningecheka mpaka nikaanguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…