majam19
JF-Expert Member
- Nov 13, 2024
- 1,363
- 1,564
Habari ndugu zangu.
Hapa naenda moja kwa moja kwenye mada husika.
Nihusishe na kichwa cha habari hapo juu.
Katika mambo ya vijana kuoa, wengi wetu huwa hatujawa stable kwenye suala la kiuchumi kwa sababu bado tunakuwa kwenye hatua za mwanzo za kujitafutia.
Je, Baada ya kuoa, maisha yako ya kiuchumi yalikuwa vipi? Yalidumaa au uchumi ulikufa kabisa?
Je, Ni kweli kwamba tunapotaka kuoa ni lazima uhakikishe uchumi wako umesimama vizuri?
Je, Ndoa inachangia mtu kushuka kiuchumi?
Naombeni mchango wa mawazo kwenye hili. Lengo ni kupata ufahamu kwa sisi vijana.