i do it for nature
Mi siko kwenye hata moja hapo,nilikuwa nachiti tu na hata sababu sikuijua na mpaka leo sijui ni kwa nini nilikuwa nachiti.
kwa lugha ya taifa linaitwa pepo la ngono.Sex Addiction.
hiyo ya nne karibia ingekuwa na ukweli lakini bado hawajaielezea vizuri kwamba mwanaume hajaumbwa kwa mwanamke mmoja....eti eeh? according to babu Asprin na sheria mama za infidelity
kwa lugha ya taifa linaitwa pepo la ngono.
thats what i call nature......once a man a man
Sex Addiction.
haina haja bana. hayo ni marazi pekee ambayo yanamfanya mwanaume aitwe rijali in kontrari mwanamke akiwa nayo anaitwa kicheche. kwa ufupi ni marazi yanayompatia mwanaume heshima sana.nitatafuta windshield za kutosha
Wala sio sex addiction,mbona nilikuwa naweza kumaliza hata miezi sita sijagusa na wala haikunisumbua lakini linapokuja suala la kuchiti, nachiti tu na nikijiuliza sababu mpaka leo sina jibu.Naona hapo kuna muheshimiwa kaniambia kuwa once a man........
haina haja bana. hayo ni marazi pekee ambayo yanamfanya mwanaume aitwe rijali in kontrari mwanamke akiwa nayo anaitwa kicheche. kwa ufupi ni marazi yanayompatia mwanaume heshima sana.