Watoto wa sikj izi kila mtu anawaza kuajiriwa tu kak, kuna dogo I used to mentor nilimuuliza anapenda kitu gani (wakati huo alikuwa kidato cha tatu kama sikosei) kaniambia Daktari namuuliza kwanini anasema ni rahisi kupata kazi 😂😂😂😂😂😂
Watoto wa sikj izi kila mtu anawaza kuajiriwa tu kak, kuna dogo I used to mentor nilimuuliza anapenda kitu gani (wakati huo alikuwa kidato cha tatu kama sikosei) kaniambia Daktari namuuliza kwanini anasema ni rahisi kupata kazi
Kila sehemu ajira ni changamoto, iwe afya, uhandisi, IT, biashara hadi sanaa. Mi nawashaurugi tu mtu achague anakoona anaweza kufanya kitu akaonekana, imagine mtoto yuko form 1 anaanza kuwaza ugumu wa ajira 😂
Kila sehemu ajira ni changamoto, iwe afya, uhandisi, IT, biashara hadi sanaa. Mi nawashaurugi tu mtu achague anakoona anaweza kufanya kitu akaonekana, imahine mtoto yuko form 1 anaanza kuwaza ugumu wa ajira