ccm mtoto wao
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 562
- 483
Tafadhalini jamani anko magu karibu atanilipa hela yangu ya korosho, ili kujipooza na machungu nafikiria kununua TV.
Sasa basi nahitaji ushauri wenu ipi TV ambayo nitafaidi quality yake hasa nikiangalia movies za kidhungu kati ya 3D na 4k.
Na dukani zinasimamaje upande wa bei
Sasa basi nahitaji ushauri wenu ipi TV ambayo nitafaidi quality yake hasa nikiangalia movies za kidhungu kati ya 3D na 4k.
Na dukani zinasimamaje upande wa bei