je? tutafika

je? tutafika

je? tutafika


  • Total voters
    2
  • Poll closed .

Kanje

Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
5
Reaction score
0
E TUTAFIKA?
Soma mwanangu elimu ni ufunguo wa maisha, nitasoma mpaka chuo kikuu ili niweze kulitumikia taifalangu na kuikomboa familia yangu kiujumla, nafikili nita kapo maliza shahada yangu nitaajiriwa katika kiwanda cha urafiki, mimi nitakuwa miongoni kati ya wafanyakazi wa kiwanda cha ufi, nitakapo maliza masomoyangu naitajika katika kufanya kazi katika kiwanda kimoja cha maturubai morogoro , leo nime poke barua kutoka katika kiwanda cha ngozi ikiniitaji nilipoti kazini ndani ya wikimo ta yari kwakuanza kazi pale mjini morogoro, Baba usiwena shaka nikimaliza tu elimu yangu nakuaadJi nita wajengea nyumba itakayo ezekwa bati .
Izi nisauti za matumaini za wasomi na wazazi wakati ulile taifa lilipo kuwa likiwekeza katika viwanda nasikitika sauti zile zamatumaini zimepotea miongoni mwa wasomi na wazazi, viwanda ivyo vilvyo kuwa matumaini ya wasomi pindi wawapo viyoni vikowapi? Au zilikuwa nindoto zausiku wa manane kwa wasomi hawa? Urafiki ikowapi sasa, Ufi ikowapi sasa, Mwatex nayo kiko wapi sasa, tulikuwa tukivisoma kwenye vitabu vya shule ya msingi na sekondara kama viwanda vilivyo kuwa vikitegemewa na serikari, katika kupata kodi na kutowa ajira kwa Watanzania leo vimegeuka kuwa mapango yapanya na vingine vime geuka kuwa show room za magari atuvioni tena vikielezewa umari dadi wake katika vitabu mashuleni, au wana tusahulisha na kutuambia avikikuwai kuwepo, nakama vilikuwepo na sasa viko wapi? Ndoto za watanzania wasomi wawa kati ule azipo tena katika Tanzania ya sasa, wasomi wamekuwa wakishika tama wakiwaza ni wapi wata ajiriwa.
Uzoefu wako wa kazi ni wa miaka mingapi? Ndio tuna faamu una shaada ya uchumi lakini tuna itaji mtu aliye pata alama ya A Katika somo la hesabu, mwajiri nina watoto wa shangaziyangu majina yao haya hapa, naomba wapate na fasi hizi , unakiasigani cha fedha nikupatie ajira, haya ndo manena wanayo kutana nayo wa somi waleo .
kama mnawaitaji watu walio pata alama A katika somo laisabati kidato channe nendeni kwenye masekondariri muka waajiri, na mtuambie elimu yetu ya vyuo vikuu haina thamani tena zidi ya elimu ya sekondari, nakama niubaguzi mtuambie, au mliuwa viwanda vyetu ili mtunyanyase ndani yanchiyetu.
Uwepo wa ajira katika taifa lolote duniani unatokana sera nzuri za maali usika marekani waingereza na mataifa mengine dunia ya lioenderea yamefika hapo yalipo kutokana na kuwa makini katika uwekezaji, mataifa ya ulaya yalianza kupiga atua kubwa za maendereo kwamzia kalne ya kumi nanane (18centuary) maendereo hayo yalitokana na naumakini wa viongozi usika, zidi ya serazao za yamapinduzi ya viwanda. Umakini mzuri wa mataifa aya ya ulaya ndio ulio wa fanya wawe apo walipo sasa.
Miaka ya 64, mpaka mwishoni mwa miaka ya 80 serikari ya jamuhuri ya muungano watanzania ilijikita sana katika uwekezaji wa viwanda, miaka ile tuliviona viwanda vyangua, viwanda vya katani viwanda vya ngozi viwanda vya kubangua korosho hayote yalifanywa na serikari katika uzarishaji wan a fasi za ajira na kujenga uchumi ulio bora na wakisasa watu walijituma katika kufanya kazi ndani ya viwanda ivyo ili kuboresha uchumi wao binafsi na taifa kwa ujumla, tulishuudi na fasi za ajira zikitolewa, kwa wa Tanzania wasomi walio mariza vyio vikuu waligombaniwa na mashirika mbali mbali serikari iliwapangia waitimu wote semu mbalimbali za kazi ndani ya nchi, waitimu awakuchukuwa miakamingi katika kuta futa ajira kinyume naivisasa waitumu mbalimbali wenye uwezo wa fani mbalimbali inawachukuwa miaka mitano hadi kumi bila kupata ajira ya uwakika toka waitimu mafunzo yawo.
Inasikitisha sana kuona taifa ambaro lilikuwa likipiga atuwa kubwa katika kukombowa wana nchi wake kimaendeleo limekosa mwelekeo haya si maneno yangu ni maneno ya msomi mmoja katika chuo kimoja hapanchi, ile dhana ya kusema kuwa elimu ni ufunguwo wa maisha ina anza kuondoka kutoka miongoni mwa watanzania ili linatokana na kuwaona womi wengi wakizunguka mitaani bila ajira, na kupelekea wengi kujiingiza katika uarifu kupitia mitandao ili kujipa tia maitaji yao yakimaisha.
Mataifa kama india taiwani mareshia, china ,Brazili ,mexco ,na mengine mengi , aya kuwa mbali sana na Tanzania kimaendeleo miaka michache toka tupate uhuru, lakini leo ya mepiga atuwa kubwa zakimaendeleo ukifananisha na Tanzania ya sasa, mataifa haya ya mepiga atuwa kutokana na uwekezajiwowo katika viwanda vinavyo towa ajira kwa watuwengi, vikiwemo vyanguo viatu na kazarika nandomaana leo hii wako mbali kimaendeleo waliona kuwa katika kujenga taifa lililo bora kiuchumi ni lazima kiasi kikubwa cha watu wataifa lile wa shiriki kujenga uchumi uwo na katika kushiriki kwao moja ya nyenzo kubwa nikuwekeza kwenye viwanda vinavyo towa ajira kwa wingi ili kuenda sambamba na maendeleo ya mtu moja moja.
Atuwezi kuendelea kiuchumi kama tuta wategemea wawekezaji pekeyao nilazima taifa rishiriki katika uwekezaji , vile vile atuwezi kuzarisha ajira za kutosha kama tuta tegemea wawekezaji pekeyao watuzalishie ajira kwa upande mwingine atuwezi kuzarisha ajira zakutosha kama tuta tegemea migodi nagesi pekeyake kwani aviwezi kutowa ajira za kutosha tutaweza kutowa ajira za kutosha kama tuta fufuwa viwanda vyetu vilivyo kuwa vyanguo , vya ngozi , vya majembe navingine vingi kwani vilionekana kutowa unafuu wa kupata ajira,​
 
Hii poll ingekuwa juu ya jambo la maana ungepata wachangiaji wengi lakini kwa vile haina mbele wala nyuma, sidhani iwapo utapata watu wa kuku-support!!
 
Haya maelezo kibao mpaka nashindwa kuamua nipige kura ama la.

halafu kama kuna harufu ya gaidri miigulu kwenye maandishi haya
 
Aisee napenda poll lakini hii imenishinda siwezi soma maelezo yote hapo
 
Back
Top Bottom