Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,520
- 2,059
Sio udikteta,na Kama tunataka kuurithi ufalme wa mbinguni atuna budi kufanya.Ni Lazima Kila Tulifanyalo Limpendeze Mungu?
Si Udikteta Huo?
Huwezi kuwa mpagani,labda Kama ujasoma maandiko matakatifu vizuri.Ukichunguza sana utabaki mpaganj ila dunia ina siri nzito
Kama Ni hivyo,unazani Kuna Jambo ambalo binadamu anaweza kulifanya ambalo biblia ailizungumzii na kumpendeza mungu kweli?Si kila kifanyikacho duniani basi kiwe kwenye Bible vingine ni utaratibu tu wa binadamu kitu cha muhimu kisiwe kiovu mbele za Mungu na hapo mi sioni uovu wowote watu wakiadhimisha hizo siku
Yapo mengi tu mbona,mfano wewe kuchati unafikiri Mungu kalizungumzia kwenye kitabu chochote cha dini au watu kutumia maroboti kufanya kazi utaanza kuwaza labda wanamkosea Mungu lakini sio kweli kuna mambo mengine tunapaswa kutumia akili tulizonazo za kutambua mema na mabayaKama Ni hivyo,unazani Kuna Jambo ambalo binadamu anaweza kulifanya ambalo biblia ailizungumzii na kumpendeza mungu kweli?
Kutengeneza maroboti ni kosa,tena kubwa sana na wanaotengeneza watapata tabuna Sana, kwasababu wanaiga na kukosoa uumbaji wa Mungu,Kwa mfano ilifikia hadi wakati wakataka kutengeneza roboti na kutaka kuliwekea hadi mifumo yafahamu but wakakosa pumzi,je unazani hiyo ni sahihi?,na Kama ni sahihi,je wangeweza wangesemaje kuhusu uumbaji wa Mungu?,je wangeamini Kama Mungu alimuumba binadamu?nijibu.Yapo mengi tu mbona,mfano wewe kuchati unafikiri Mungu kalizungumzia kwenye kitabu chochote cha dini au watu kutumia maroboti kufanya kazi utaanza kuwaza labda wanamkosea Mungu lakini sio kweli kuna mambo mengine tunapaswa kutumia akili tulizonazo za kutambua mema na mabaya
Mmmhhh hapo umeangalia maroboti yanayofanana na binadamu tu lakini kuna maroboti mengine hayapo kimfumo wa binadamu hii ni kutokana na kazi ambayo yametengenezwa kuifanyaKutengeneza maroboti ni kosa,tena kubwa sana na wanaotengeneza watapata tabuna Sana, kwasababu wanaiga na kukosoa uumbaji wa Mungu,Kwa mfano ilifikia hadi wakati wakataka kutengeneza roboti na kutaka kuliwekea hadi mifumo yafahamu but wakakosa pumzi,je unazani hiyo ni sahihi?,na Kama ni sahihi,je wangeweza wangesemaje kuhusu uumbaji wa Mungu?,je wangeamini Kama Mungu alimuumba binadamu?nijibu.
daaaaahhh" watu wenye imani ya dini mnamatatizo Sana" kama kutengenezwa" maroboti ni kosa" je wazungumzia vipi utengenezwaji" WA magari" .. ndege".meli" treni" etc maana hivyo vyote" vimegunduliwa" baada ya binaadamu kufanya tafiti mbali mbali za wanyama" ... hata maghorofa nayo" ni mfanano WA Miti Mirefu""....Kutengeneza maroboti ni kosa,tena kubwa sana na wanaotengeneza watapata tabuna Sana, kwasababu wanaiga na kukosoa uumbaji wa Mungu,Kwa mfano ilifikia hadi wakati wakataka kutengeneza roboti na kutaka kuliwekea hadi mifumo yafahamu but wakakosa pumzi,je unazani hiyo ni sahihi?,na Kama ni sahihi,je wangeweza wangesemaje kuhusu uumbaji wa Mungu?,je wangeamini Kama Mungu alimuumba binadamu?nijibu.
Kwa ujumla ndugu yangu alphaking2023,Nadhalia ya teknolojia kwa ujumla aimpendezi Mungu,na ukifuatilia Sana wanasayansi wengi huwa Wana amini kwamba akuna Mungu,na hata ukiangalia moral's decay ambazo zinatokea sasa hivi kwa ujumla utokana na hizohizo teknolojia na ndio huo uwezo wa kufanya hivyo unawapa viburi hasa wazungu kuwa they can do anything like Mungu,kumbe ki nothing tu ko utengenwzaji wa maroboti,magari,ndege na e.t.c kwa ujumla upoteza mantiki ya kwamba Mungu ni muweza wa yote ok.Mmmhhh hapo umeangalia maroboti yanayofanana na binadamu tu lakini kuna maroboti mengine hayapo kimfumo wa binadamu hii ni kutokana na kazi ambayo yametengenezwa kuifanya
Pamoja na hayo ila mi sioni kama kutengeneza roboti ni vibaya kwani yule ni roboti na atabaki kuwa roboti hawezi kuwa binadamu af ukisema kuwa ni kosa kwa sababu wanaiga uumbaji wa Mungu sijui wanamkosoa kwaiyo tuseme na kutengeneza ndege ni dhambi kwa maana binadamu hakuumbwa awe anasafiri angani aliyekuwa wa angani ni ndege(mnyama) ndo maana akapewa mabawa we mkuu huoni kama kuhukumu Hilo kosa kwa upande huo inakuwa sio Sawa maana hii ni teknolojia hayo maroboti yanasaidia kurahisisha kazi haijalishi yana fananaje
Kwanza kabisa pole ndugu yangu kwa kuandila kwa hasira Sana,Umendaika vema
Ila tambua kuwa kila jambo lifanywalo mfanyaji ndio anajua maana yake,
Mfano,
Kuna watu wanasema eti ukiandika Mungu ya herufi ndogo yaani "m" ndogo eti humaanishi mungu huyu tunae mwamudu,
Ila mm nasema nikiandinga mungu au Mungu maana yangu ni ile ile kama wewe unaona tofauti shauri yako
Kuna neno X-mass ambayo watu wengi wanamaanisha christmass,kuna mtu nakwambia eti X-Mass ni ya kipepo,mm nasema shauri yako maana yangu ni Christmass
Narudi kwenye maada
Kama Inst kwa mawazo yako na imani yako ni upagani basi kwa imani yangu akili zangu ni ukristu
Tarehe moja ya Jan kila mwaka mimi kwa akili zangu na imani nasherekea mwaka mpya,kama ww unasherekea miungu wawilili haina shida,
Tatizo ni imani,
Kama unaamini unakula wali samaki wakati unakula wali na picha ya samaki brother,
Kama unaamini new yr ni ya kipagani endelea usiache
Vyote ni batili machoni pa Mungu.daaaaahhh" watu wenye imani ya dini mnamatatizo Sana" kama kutengenezwa" maroboti ni kosa" je wazungumzia vipi utengenezwaji" WA magari" .. ndege".meli" treni" etc maana hivyo vyote" vimegunduliwa" baada ya binaadamu kufanya tafiti mbali mbali za wanyama" ... hata maghorofa nayo" ni mfanano WA Miti Mirefu""....