Je Teknohama inanizunguka?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Teknohama inanizunguka??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, Nov 4, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Nimimi peke yangu au wote mwenzenu natafuta sehemu yakuchat na fl,preta,big mama,the finest,who care,katerelo,Rose 1980,bujibuji japo yupo bize na maswala ya uchaguzi,Nyani ngabu najua yupo begakwabega kule kwenye jimbo la nyamagana kuakikisha ushindi nilazima,Ndibalema najua anashughulikia maswala ya jimbo la nkenge,MS najua alikuwa busy na watu wausalama kuakikisha ccm inashinda!nawengine ambao sijawataja kwakukosa mahalipakuandika maana nafasi niliyopewa imeisha!Sasa niambieni au ile kura ya VETO ilipitishwa kwamba haina haja yakuweka chat room kwakuwa watu wanashindwa kujadili mambo ya mstakabali wataifa letu!Nijuzeni au teknohama inanizunguka??:sad:
   
Loading...