Na hiyo hormonal assay ulifanyiwa wapi?maana hizi diagnosis za vichochoroni mbaya'.what kind of a doc atadiagnose hiyo kitu asikupe maelezo ya kutosha mpaka uje hapa?Je hilo tatizo linatibika na kuisha kbsa na je ni wapi clinic nzuri na daktri mzuri ambae naweza kumuona kwa tatizo hilo?
Kinacho ulizwa ni hormonal imbalance.nachotaka kujua iligunduliwa namna gani na kwa kipimo kipi.na doc alipotoa majibu akasemaje.Naona hujaelewa kinachoulizwa
Ukiwa na Shida yoyote ileJe hilo tatizo linatibika na kuisha kbsa
Je ni wapi kuna clinic nzuri na daktari mzuri ambaye naweza kumuona kwa tatizo hilo?