Je, tatitzo ni jf au ni itv na tbc???

Je, tatitzo ni jf au ni itv na tbc???

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,455
Ni muda sasa nimekua nikitatilia kwa kina habari mbalimbali hapa jamiiforum na baadae jioni huwa naangalia kwenye vyombo balimbali vya habari ili kujirithisha,likini tangu uchagzi wa arumeru umeanza nimejionea tofauti kubwe sana ya habari na kupata maswali megi bila majibu.
MF:jana habari zilizokuwa humu jamvini kuhusu CHADEMA na CCM ni tofauti na vyombo vingine vya habari.wakati CHADEMA ikisifiwa humu jamvini kwa idadi ya watu waliohudhiria kuwa ni wengi sana na kuwa ccm ilikosa watu na wengine kusema hata 50 Hawafuki,habari za tv's zilionyesha kunyume chake tena kwa tofauti kubwa sana.Je shida iko kwa maripota wetu hapa JF au kweye tv's?
au unashauri nini kifanyike ili tuweze kwenda sambamba?
(naomba msinielewe vibaya nikwa nia njema tu.)
 
TBC walichakachua picha ya jana..walichanganya pcha za igunga mwaka jana siku ya ufunguzi wa kampeni...
 
Ni muda sasa nimekua nikitatilia kwa kina habari mbalimbali hapa jamiiforum na baadae jioni huwa naangalia kwenye vyombo balimbali vya habari ili kujirithisha,likini tangu uchagzi wa arumeru umeanza nimejionea tofauti kubwe sana ya habari na kupata maswali megi bila majibu.
MF:jana habari zilizokuwa humu jamvini kuhusu CHADEMA na CCM ni tofauti na vyombo vingine vya habari.wakati CHADEMA ikisifiwa humu jamvini kwa idadi ya watu waliohudhiria kuwa ni wengi sana na kuwa ccm ilikosa watu na wengine kusema hata 50 Hawafuki,habari za tv's zilionyesha kunyume chake tena kwa tofauti kubwa sana.Je shida iko kwa maripota wetu hapa JF au kweye tv's?
au unashauri nini kifanyike ili tuweze kwenda sambamba?
(naomba msinielewe vibaya nikwa nia njema tu.)

Kumbuka hizi TV ni za CCM na camera man lazima apige picha upande upande na pembezoni mwa mkusanyiko wa mikutano ya chadema ili ionekane hakuna watu. na upande wa mikutano ya CCM anakaa kati kati ya kakundi ka watu wachache waliosombwa na fuso ionekane wako wengi. So nomba utumie reference ya picha za humu ambazo mostly zinapigwa na simu ambazo hazijachakachuliwa studio.

Najua nimeshakuelimisha hapo labda ujitie kichwa ngumu.
 
We tafakari mwenyewe alafu utapata jibu.
 
Ni muda sasa nimekua nikitatilia kwa kina habari mbalimbali hapa jamiiforum na baadae jioni huwa naangalia kwenye vyombo balimbali vya habari ili kujirithisha,likini tangu uchagzi wa arumeru umeanza nimejionea tofauti kubwe sana ya habari na kupata maswali megi bila majibu.
MF:jana habari zilizokuwa humu jamvini kuhusu CHADEMA na CCM ni tofauti na vyombo vingine vya habari.wakati CHADEMA ikisifiwa humu jamvini kwa idadi ya watu waliohudhiria kuwa ni wengi sana na kuwa ccm ilikosa watu na wengine kusema hata 50 Hawafuki,habari za tv's zilionyesha kunyume chake tena kwa tofauti kubwa sana.Je shida iko kwa maripota wetu hapa JF au kweye tv's?
au unashauri nini kifanyike ili tuweze kwenda sambamba?
(naomba msinielewe vibaya nikwa nia njema tu.)
Mkuu utaumiza kichwa bure. Hujui kwamba JF ni tawi la FREEMEDIA? wapiga kura wengi wa CHADEMA wako JF na kura wanapiga kwa majungu. Ni tv gani sasa inayoonesha vizuri habari za Arumeru ? Watuambie. Halafu kama itv na tbc1 hawarushi habari kuna madhara gani kama wananchi wa Arumeru wenyewe wanamjua mbunge wao watakayemchagua.
 
Mimi huwa nashangaa hizo TV kuchukua picha kiupande.Tena wameanza Arumeru. Najiuliza kweli kuna umuhimu gani wa kuripoti taarifa hizo kama wanakuwa hivyo. Si bora waache tu
 
Matukio na mkusanyiko wa jana haukuendana na picha halisi kunako maeneo.Mfano,picha za jana wameonyesha kutokana na mikutano ya nyuma.Na kama haitoshi vyombo vingi vya habari ni vibaraka wa ccm.Unataka leseni zifungiwe,nini?
 
Mkuu kumbuka aliyesema hawakufika hata 50 alitaja na eneo husika sasa ukifanya generalization utakuwa unakosea. Kuna baadhi ya maeneo watu wanajaa to a particular political party. Kumbuka kuwa ukiangalia TBC wakati wa magazeti wanakwepa kila kipengele kitakachosomwa na kusikika kwa mfano kauli za Mkapa juu ya Vincenti nyerere na Kifo cha baba wa taifa. Wanasoma habari za kawaida tu. Huwa nafikia sehemu nyingine nawaonea huruma maana unaona kabisa tabu anayoipata msomaji na usoni anakuwa anaonekana kukomaa ili asikosee..........maana kesha elezwa kuwa asithubutu.
 
Mimi huwa nashangaa hizo TV kuchukua picha kiupande.Tena wameanza Arumeru. Najiuliza kweli kuna umuhimu gani wa kuripoti taarifa hizo kama wanakuwa hivyo. Si bora waache tu

Media haziwezi kuripoti kuwafurahisha watu. bali hali halisi ilivyo . Sasa kama mmezoea warushaji wenu kukusanya taarifa kule na kule na kuziunga kama kamba basi mmefulia. Bytheway kama Tanzania Daima limeshawaonesha nyomi ya kubumba bado mnahoji ya itv na TBC1 ya nini au hamridhiki na ulaghai huo wa Tanzania Daima?
 
Waangalie kwa makini tvt sorry, tbc wasomaji wa habari wakisoma kama wameshikiwa ile kitu ya malima pale hotelini morogoro.
 
Ni muda sasa nimekua nikitatilia kwa kina habari mbalimbali hapa jamiiforum na baadae jioni huwa naangalia kwenye vyombo balimbali vya habari ili kujirithisha,likini tangu uchagzi wa arumeru umeanza nimejionea tofauti kubwe sana ya habari na kupata maswali megi bila majibu.
MF:jana habari zilizokuwa humu jamvini kuhusu CHADEMA na CCM ni tofauti na vyombo vingine vya habari.wakati CHADEMA ikisifiwa humu jamvini kwa idadi ya watu waliohudhiria kuwa ni wengi sana na kuwa ccm ilikosa watu na wengine kusema hata 50 Hawafuki,habari za tv's zilionyesha kunyume chake tena kwa tofauti kubwa sana.Je shida iko kwa maripota wetu hapa JF au kweye tv's?
au unashauri nini kifanyike ili tuweze kwenda sambamba?
(naomba msinielewe vibaya nikwa nia njema tu.)
nikuulize-uliona taarifa ya chadema tbc1 jana?
 
Duh.. hizi topic nyingine.. Kwani wanachoshindania huko Arumeru ni wingi wa watu kwenye mikutano.. au kupata nafaci ya kuwakilisha wananchi wa Arumeru bungeni..? Maana wingi wa kura ndio wa muhimu kuliko kujaza watu mikutanoni..! Kumbuka Prof. Lipumba kapokewa na umati wa watu pale Airport lakini CUF haina mbunge hata mmoja Dar.. Wekeni posts za kujenga guys..!
 
Mkuu utaumiza kichwa bure. Hujui kwamba JF ni tawi la FREEMEDIA? wapiga kura wengi wa CHADEMA wako JF na kura wanapiga kwa majungu. Ni tv gani sasa inayoonesha vizuri habari za Arumeru ? Watuambie. Halafu kama itv na tbc1 hawarushi habari kuna madhara gani kama wananchi wa Arumeru wenyewe wanamjua mbunge wao watakayemchagua.

na pia wele wanaopata nafais ya kutuhabarisha wangekuwa wanatuwekea picha angalau ingesaidia
 
Back
Top Bottom