MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 6,608
- 11,830
CCM ni Mabingwa wa kufanya dramas ana technicalities, sijui kwa nini bado wako fofofo hadi sasa... Mzee wa gombe na bashiru fofofo; kibajaji mtetezi wa wanyonge akina matonya - fofofo; Kingwangara- fofofo; wote fofofo kwa asilimia 97 walizojipatia.. taabu tupu... Nani awazindua huko waliko waje wajitambue?Uchaguzi huu hadi sasa umekiua CCM kwa kiwango kikubwa sana.
Je CCM kama Taasisi itajitenga na Samia?
Tutarajie kitu, pia nashauri wagombea baadhi wa CCM wajitokeze na kuukataa uchaguzi.
Hivi mnaona mauaji yanayofanywa na polisi kwa vijana wadogo kabisa wasio na hatia? Mitaa imetapakaa maiti. Watu wanafuatwa ndani na kupigwa risasi. Tanzania tumekosa watu wenye uwezo wa kumuondoa huyu shetani Samia na nchi ikatulia? Tanzania will never be the same again.CCM ni Mabingwa wa kufanya dramas ana technicalities, sijui kwa nini bado wako fofofo hadi sasa... Mzee wa gombe na bashiru fofofo; kibajaji mtetezi wa wanyonge akina matonya - fofofo; Kingwangara- fofofo; wote fofofo kwa asilimia 97 walizojipatia.. taabu tupu... Nani awazindua huko waliko waje wajitambue?
Ni hatari sana ndugu yangu, usiku wa leo hapa mbalizi vijana 16 wameuliwa wamefatwa ndani ni msako nyumba kwa nyumba wamepigwa risasi na miili yao kutupwa barabarani, Mbalizi vija 12, chimala vija 22, mbozi vijana 8 the list goes on......Hivi mnaona mauaji yanayofanywa na polisi kwa vijana wadogo kabisa wasio na hatia? Mitaa imetapakaa maiti. Watu wanafuatwa ndani na kupigwa risasi. Tanzania tumekosa watu wenye uwezo wa kumuondoa huyu shetani Samia na nchi ikatulia? Tanzania will never be the same again.
Mkuu poleni sana. Msikae kimya bila kufanya kitu. Nina maana kuwa muda kama huu kila mtu anatakiwa asaidie kwa kila namna. Bila kuhatarisha maisha yenu na kwa kificho, jaribuni kupiga picha miili ya marehemu ili kubaki na kumbukumbu za ushahidi. Najua hali ni ya hatari sana lakini jitahidini mpate picha (bila kuonekana). NB: Usiongee kwenye simu kuhusu jambo linaloweza kuhatarisha maisha yako kwani simu (hizi za kawaida) zinasikilizwa.Ni hatari sana ndugu yangu, usiku wa leo hapa mbalizi vijana 16 wameuliwa wamefatwa ndani ni msako nyumba kwa nyumba wamepigwa risasi na miili yao kutupwa barabarani, Mbalizi vija 12, chimala vija 22, mbozi vijana 8 the list goes on......
Na bado tunasubiri tukutwe na jambo jingine zaidi ya hili ili ndiyo tuchukue hatua dah!Ni hatari sana ndugu yangu, usiku wa leo hapa mbalizi vijana 16 wameuliwa wamefatwa ndani ni msako nyumba kwa nyumba wamepigwa risasi na miili yao kutupwa barabarani, Mbalizi vija 12, chimala vija 22, mbozi vijana 8 the list goes on......
Hesabu zinakataa 😃😃Hivi matokeo ya uchaguzi wa wabunge nayo yametangazwa?
SahauUchaguzi huu hadi sasa umekiua CCM kwa kiwango kikubwa sana.
Je CCM kama Taasisi itajitenga na Samia?
Tutarajie kitu, pia nashauri wagombea baadhi wa CCM wajitokeze na kuukataa uchaguzi.
Sijui mnawaza vitu gani tu hadi sasa Enyi watu!!?Katiba yetu kipengele cha Rais akifa makamu anarithi muda uliobaki ni moja ya weakness yetu kama taifa na kingine ni muungano, maadui wa nje ya Nchi walitumia muda mrefu sana kujifunza kuhusu hili wakati sisi tumekazania uchawa.
Interest yetu ya kwanza ni Samia apumzike,
Ya pili katiba yetu ibadilishwe haiendani na wakati na ni hatari kwa Taifa kwa wakati huu.
Kuna propaganda nyingi zinaendelea sana kuhusu kinachoendelea ambacho naona kinaweza kupeleka silaha nyingi kubaki nje ya Jeshi.
Kama lengo kuu la CCM ni kulinda amani ya nchi, imtoe Samia, haraka sana. Tanzania imeingia kwenye mtego wa kuanzisha uasi
Sii kweli, uchaguzi huu haujaiua CCM, umeiau vipi wakati matokeo ni ushindi wa kishindo wa asilimia 98, kura milioni 32!. Kitu ambacho uchaguzi mkuu huu umefanya ni kuijeruhi Tanzania, imetolewa kwenye jina la kisiwa cha amani, nchi yetu itaathirika vibaya, na it will take time kuiponya.Uchaguzi huu hadi sasa umekiua CCM kwa kiwango kikubwa sana.
Hapana, CCM ni Samia na Samia ni CCM.Je CCM kama Taasisi itajitenga na Samia?
Hakuna kitu kama hiki, tena kwa hisia zangu, afadhali ya Bunge lililopita angalau kulikuwa na wabunge wawili wa upinzani kutoka bara, this time, I doubt!.Tutarajie kitu, pia nashauri wagombea baadhi wa CCM wajitokeze na kuukataa uchaguzi.
Uchaguzi huu hadi sasa umekiua CCM kwa kiwango kikubwa sana.
Je CCM kama Taasisi itajitenga na Samia?
Tutarajie kitu, pia nashauri wagombea baadhi wa CCM wajitokeze na kuukataa uchaguzi.