Kichwa chako hapo juu ni tofauti kabisa na ulichoandika. waziri kasema hakuna lockdown halafu wewe kwa akili yako ya mtu mzima unauliza, "Tanzania tutegemee lockdown tena?" Unavyosema "tena", je ilikwishakuwepo lini? Walimu huko madarasani wana shida sana. Yaani ukiwa na wanafunzi 2 kama wewe darasani sijui inakuwaje!