Je Tanzania tunatatizo la kujidanganya-Tuko fake?

Je Tanzania tunatatizo la kujidanganya-Tuko fake?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,268
Reaction score
13,895
Sasa tujiulize Raisi mwenyewe kapatikana kwa kudanganya hata kura hazikuhesabiwa kabisa! Lakini kuna watu tena wengi tu wanajidanganya pamoja na kujua ukweli kwamba tulikuwa na chaguzi.

Kila mtu anajua kesi ya Lissu ni fake lakini bado kuanzia mahakama mpaka watu fulani wana fake kama vile ni kesi ya kweli!

Utekaji unafanywa na Polisi na sio siri lakini mpaka Raisi ana fake kama vile hajui

Sasa je Tanzania tuna tatizo la kiutamaduni kwamba kuna watu wanapenda kuishi kwa kujidanganya fake life au ni nini. Machawa ni mfano wa fake life na utamaduni wa kujidanganya. Inabidi huu utamaduni tuanze kubadilisha kuanzia sasa.

Hongera kuna watu kama Lissu ambao hawako fake
 
Tupo katika hatua ya juu ya Unafiki na Maigizo!(Viongozi wanakwepa ukweli kwamba hawajui wananchi wanataka nini,)

Wananchi wapo kimyaa kama vile hakuna kitu kimetokea ,lakini ndani ya mioyo ni hatari.

Tukienda hivi,miaka ijayo itakuwa ni hatari zaidi kuliko matukio tuliokwisha yaona.
 
Watanzania wanajidanganya sana wameongeza kodi za Truck za maana na kupunguza kwa truck walizoingia nazo mkataba ili watu wasiagize Scania,Actros na Volvo waendelee na Howo na ndugu zake sielewi malengo yao nini kwa nini hawaweki mpira kati watu ndio waone waende wapi...
Kuingiza Scania G 460 ya 2018 sasa hivi wanataka 68m..
Nchi hiyo hawataki watu walipe kodi kwa hizi kodi mnazoziongeza kila kukicha..
 
Sasa tujiulize Raisi mwenyewe kapatikana kwa kudanganya hata kura hazikuhesabiwa kabisa! Lakini kuna watu tena wengi tu wanajidanganya pamoja na kujua ukweli kwamba tulikuwa na chaguzi.

Kila mtu anajua kesi ya Lissu ni fake lakini bado kuanzia mahakama mpaka watu fulani wana fake kama vile ni kesi ya kweli!

Utekaji unafanywa na Polisi na sio siri lakini mpaka Raisi ana fake kama vile hajui

Sasa je Tanzania tuna tatizo la kiutamaduni kwamba kuna watu wanapenda kuishi kwa kujidanganya fake life au ni nini. Machawa ni mfano wa fake life na utamaduni wa kujidanganya. Inabidi huu utamaduni tuanze kubadilisha kuanzia sasa.

Hongera kuna watu kama Lissu ambao hawako fake
Socialism and communism is based on utopian beliefs. Fake.
Ujamaa the form of African socialism or communism ndiyo hiyo ilifanya watu waaminishwe mambo mengi fake. Hiyo ni mindset ambayo inatua ubongoni. Ujue ilijengeka miongo yote hiyo, na inaweza kuchukua miaka 70 au 80 hiyo mindset kuiondoa. Na inaondoka tu kama exposure itaendelea kwa kasi.

Fikiria Tanzania haikuwa na TV broadcasting hadi Mwaka 2000. Yaani TV ya Taifa. Kuwa na TV au Radio ilikua kama luxury siyo necessities. Sasa fikiria watu kama hao ukiwambia kipi hawawezi kuamini?

Lucas Mwashamwa anajua Vwawa na Dar au Mbeya, nchi labda aliyofika ni Nakonde Zambia, huyo ndiyo propaganda machines ya CCM sasa what do you expect from the audience? Fake Fake!!

The president is fake, parliament is fake, kila kitu fake. Our standard is fake
 
Back
Top Bottom