Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,265
- 34,234
Hii inahusiana vipi na hii mada?Construction workers from Turkey on strike in Tanzania - english Construction workers from Turkey on strike in Tanzania
Daaah inauma sanaSisi bado tunapigia chapuo mkataba mbovu wa Bandari! Watawala waambiwa ila hawataki kusikia na kuona namna ya kuanza mchakato tena kwa njia zilizo sahihi wasije kuingiza taifa kwenye hasara ambayo ingeweza kuepukika
Umeanza kufuatilia siasa za Afrika lini?Najaribu kuwaza,
Nchi za afrika magharibi hasa Mali, Bukina Faso na Niger zinavitu viwili vinavyo fanana (in common).
1. Viongozi wake wamepinduliwa kijeshi na jeshi kuchukua uongozi.
2. Nchi zote hizo 3 baada ya mapinduzi zimewafukuza wafaransa na kupiga ban au kukataza madini yao yasitolewe nchini mwao kwenye nchi za magharibi hasa Ufaransa.
Je kama Watanzania, tukiwa tunaendelea kupambana kutoa bandari yetu kwa hali na mali, tuna lipi tunajifunza hapa?
hadi sasa billion zaid ya 800 majiz ya kura yanadaiwa baada ya kushtakiwa MIGA na bado kesi zingine zinaendelea.Tutashtakiwa MIGA
Mashtaka yalikuwa yanasubiri Magufuli afe ?hadi sasa billion zaid ya 800 majiz ya kura yanadaiwa baada ya kushtakiwa MIGA na bado kesi zingine zinaendelea.
Kwenye hili jibu lako sijaona sehemu umesema "umejifunza nini" zaidi ya kuongea hisia zako kama mtoto wa kike.Umeanza kufuatilia siasa za Afrika lini?
Kwani hii ni mara ya kwanza kutokea mapinduzi nchi za Afrika Magharibi?
Tangu hayo mapinduzi yameanza kutokea miaka ya 1960 na 70 wana kipi cha maana wamefanya au kufanikiwa hadi tujifunze kwao?
Nyie watoto wajinga ndo mnaharibu hadhi ya JF kama Home of Great Thinkers
Nepotism kwa sana huko, sisi hilo tatizo haliwezi kamwe kutokea. Rais wetu anapendwa 💯Tukiwa tunaendelea na sakata la bandari..
Najaribu kuwaza,
Nchi za afrika magharibi hasa Mali, Bukina Faso na Niger zinavitu viwili vinavyo fanana (in common).
1. Viongozi wake wamepinduliwa kijeshi na jeshi kuchukua uongozi.
2. Nchi zote hizo 3 baada ya mapinduzi zimewafukuza wafaransa na kupiga ban au kukataza madini yao yasitolewe nchini mwao kwenye nchi za magharibi hasa Ufaransa.
Inshort nchi hizi zinafukuza wanyonyaji ambao zinaamini wanaiba utajiri wao.
Je kama Watanzania tuna lipi tunajifunza hapa?
Sawa sawa.Nepotism kwa sana huko, sisi hilo tatizo haliwezi kamwe kutokea. Rais wetu anapendwa
Tunajifunza kuwa Tanzania ni nchi ya amani tofauti kabisa na hizo west, kisha Tanzania haihitaji mapinduzi ya kijeshi Bali ya kifikra Ili watanzania watambue kuwa sisi hatufanani na mataifa mengi ya Africa kwakua Kila mtanzania akijitahidi kufanya kazi Kwa bidii ama kutaka nafasi yeyote katika jamii inawezekana kwakua Baba wa Taifa hakuwa mbinafsi kama ambavyo sisi wa siku hizi tulivyo. Alituaichia Taifa lenye misingi Bora kabisa Africa, hakuna mfano wake isipokuwa tu aliturithisha Katiba mbaya.Tukiwa tunaendelea na sakata la bandari..
Najaribu kuwaza,
Nchi za afrika magharibi hasa Mali, Bukina Faso na Niger zinavitu viwili vinavyo fanana (in common).
1. Viongozi wake wamepinduliwa kijeshi na jeshi kuchukua uongozi.
2. Nchi zote hizo 3 baada ya mapinduzi zimewafukuza wafaransa na kupiga ban au kukataza madini yao yasitolewe nchini mwao kwenye nchi za magharibi hasa Ufaransa.
Inshort nchi hizi zinafukuza wanyonyaji ambao zinaamini wanaiba utajiri wao.
Je kama Watanzania tuna lipi tunajifunza hapa?
Hii ndiyo Ile unajiibia mwenyewe kisha unapiga ukunga nimeibiwa, kumbe unatafuta sympathy, ku justify vices zakoMashtaka yalikuwa yanasubiri Magufuli afe ?
Hivi huwa mnadhani watu wote ni wapuuzi?
Wote tumeona video za Hukumu.....Hii ndiyo Ile unajiibia mwenyewe kisha unapiga ukunga nimeibiwa, kumbe unatafuta sympathy, ku justify vices zako
Kama umeona ni watoto hawajui bas wape elimu kwa ww mwerevu!! NB; JF haipo kwaajil ya ku praise and worship!! U should accept otha body's opinions, kama wewe unavyolazimisha humu wanaojielewa wakubaliane naww kuhusu mkataba wenyew makandokando wa DP world!!Nyie watoto wajinga ndo mnaharibu hadhi ya JF kama Home of Great Thinkers
Mimi nlichojifunza hii mikataba ya hovyo tunayoingia leo miaka ijayo watoto zetu watakuja kupindua nchi ili kuwafukuza wanyonyaji ambao sisi tumewapokea na tunaendelea kuwapokea.Tunajifunza kuwa Tanzania ni nchi ya amani tofauti kabisa na hizo west, kisha Tanzania haihitaji mapinduzi ya kijeshi Bali ya kifikra Ili watanzania watambue kuwa sisi hatufanani na mataifa mengi ya Africa kwakua Kila mtanzania akijitahidi kufanya kazi Kwa bidii ama kutaka nafasi yeyote katika jamii inawezekana kwakua Baba wa Taifa hakuwa mbinafsi kama ambavyo sisi wa siku hizi tulivyo. Alituaichia Taifa lenye misingi Bora kabisa Africa, hakuna mfano wake isipokuwa tu aliturithisha Katiba mbaya.
Na somo kubwa ni kuwa watanzania wachache wanataka kuifanya nchi yetu ianze kuwa na tabia za ajabu ajabu na hapa naomba niwe muwazi na mkweli.
Watanzania hao waharibifu wapo katika vyama vyote vya siasa ikiwemo CCM, WAPO KATIKA DINI ZOTE KUU ya ISLAM NA CHRISTIANS, bila kuwasahau ambao ni wapagani. Tena watanzania hao wachache wapo katika makundi yote ya jamii yenye elimu na isiyo na elimu rasmi, mbaya zaidi watanzania hao wapo kwenye madaraja yote ya uchumi maskini na matajiri.
Yaani binadamu hao wachache wanataka kusababisha mtifuano usio wa lazima Kila mtu akiwa na lake la binafsi huku wakijidai wanaipigania jamii ya watanzania.
Mfano, vyama vya upunzani vinataka kupata madaraka, lakini ndugu hao Kwa muda tofauti wameonyesha tabia za ki udalali zaidi kuliko kupigania Tanzania. Wenye madaraka Kwa muda tofauti wameonyesha kukumbatia mambo ambayo wala hayawasaidii watanzania Bali makundi Yao binafsi huku wakitumiwa kisingizio cha wao ndiyo wanaounda serikali, wenye dini nao wanataka kuwaingiza waumini wasio na hatia kupeleka agenda zao ambazo hazina uhusiano hata na muumba wetu ambaye mbele zake haoni Kuna shida gani binadamu akimwabudu anavyoona inafaa na kisha masikini wengine wametumia mwanya wa connections zao kudhani watamaliza umasikini wao kwakujipendekeza Kwa wenye maamuzi, mwisho ni wenye Mali wao wapo busy kuhakikisha biashara zao na Mali zao zinaongezeka na zipo salama bila kujali welfare ya watu katika jamii ambayo kama wangekuwa waungwana wangesaidia katika kuinua maisha ya walio wengi. Kisha wasomi wamebaki kuvizia teuzi na kushindwa kusimamia profession na kutumia ujuzi wao Ili taifa liweze kuendelea
So utaona kama taifa tumekengeuka na huo ukengeukaji unasababishwa na watu wachache ambao wamejitengeneza na kuwa kundi ambalo bila kuwa makini linatoboa boti ambalo nao wamo wakidhani wanajisaidia kumbe ni kujilisha upepo
Huyo hatakuelewa.Kama umeona ni watoto hawajui bas wape elimu kwa ww mwerevu!! NB; JF haipo kwaajil ya ku praise and worship!! U should accept otha body's opinions, kama wewe unavyolazimisha humu wanaojielewa wakubaliane naww kuhusu mkataba wenyew makandokando wa DP world!!