Brigedia Chan-ocha
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,353
- 2,846
Rais Barack Obama aliwahi kusema kwamba, kwa sasa Afrika inahitaji taasisi imara na siyo watu ili ipige hatua za kimaendeleo, kauli hii ilipingwa sana na baadhi ya viongozi wa Afrika.
Tujadili hapa kwa muktadha wa Nchi yetu na awamu hii ya Tano ya Mh. Rais Magufuli kuona kama kauli hii ya Obama ina uhalisia wowote kwa mazingira ya Tanzania.
Tanzania "Taasisi" zipo, ila bado haijathibitishwa kama "taasisi" hizi ni imara au siyo imara, uimara wa Taasisi unatokana na sheria, kanuni, na sera ambazo zinaongoza taasisi hizo pamoja na "Watu" wanaoziongoza taasisi hizo.
Tanzania ina "Watu" katika taasisi zote, lakini bado mambo yamekuwa magumu katika kupiga maendeleo tarajiwa, sasa tunajiuliza Tanzania inakosa nini kati ya "Taasisi" na "Watu"? au inakosa "Taasisi imara"?
Ndiyo maana sasa awamu hii ya Tano, tunaona kwamba ni "Mtu"anapambana na "Taasisi" ili kuweza kupata "Taasisi Imara" je Awamu hii itafanikiwa?