Hizi ndio athari za kutawaliwa na chama kimoja muda mrefu kwa shuruti. Matokeo yake chama hicho kimechokwa lakini hakitaki kukubali ukweli kuwa zama zake zimeisha.Wanajamvi habari zenu, hongera kwa majukum mnayotimiza lakini pia poleni na matatizizo au shida mnazo kumbana nazo.Leo nitajaribu kuandika kwa kifupi mada yangu ili tuweze kuelimishana na kujuzana alafu mwisho tunaweza kufikia muafaka.
Nchi yetu imepitia na bado unaendelea kupitia wakati mgumu sana asa wa kisiasa na kijamii. Kuna mambo mengi yanatokea lakini yanatuacha midomo wazi huku tukiwa na maswali mengi ambayo kamwe majibu yake yanakosa mpaka tuingia mapumziko. Mfano, utekaji,ukamataji kiholela,kesi zisizo na faida kwa taifa,ufisadi, kauli za vitisho na jeuri asa kutoka kwa wanasiasa na watawala.
Kuna matukio yanayotokea nchini mapaka unaweza kujiuliza kama mada inavyosema . Je,serikali na Taifa limekosa washauri wema na wazuri? Je,Taifa limekosa statecraftmen ambao ni watu muhimu kwenye nyanja za uchumi,mambo ya kijamii,siasa nk..
Hakuna nchi iliyotulia na kufanya vizuri kama imekosa watu au team hiyo. Je,sisi kama Taifa watu wa hivyo tumewakosa au wapo ila wememezwa na mfumo mbovu au mfumo mbovu umewafanya wasiwe na umuhim na maana tena.
Sio faida serikali kuacha watu wake waote usugu kwa mambo mabaya yanayotokea maana kunaweza siku moja watu hao wakatae kuvumilia na kufanya maamuzi hatarishi au hatari kwa taifa lao.
JE,TAIFA LIMEKOSA WASHAURI,NI AKINA NANI WANAFANYA KAZI YA STATECRAFTMEN? KARIBU
Nimeliongelea sana hili.Wanajamvi habari zenu, hongera kwa majukum mnayotimiza lakini pia poleni na matatizizo au shida mnazo kumbana nazo.Leo nitajaribu kuandika kwa kifupi mada yangu ili tuweze kuelimishana na kujuzana alafu mwisho tunaweza kufikia muafaka.
Nchi yetu imepitia na bado unaendelea kupitia wakati mgumu sana asa wa kisiasa na kijamii. Kuna mambo mengi yanatokea lakini yanatuacha midomo wazi huku tukiwa na maswali mengi ambayo kamwe majibu yake yanakosa mpaka tuingia mapumziko. Mfano, utekaji,ukamataji kiholela,kesi zisizo na faida kwa taifa,ufisadi, kauli za vitisho na jeuri asa kutoka kwa wanasiasa na watawala.
Kuna matukio yanayotokea nchini mapaka unaweza kujiuliza kama mada inavyosema . Je,serikali na Taifa limekosa washauri wema na wazuri? Je,Taifa limekosa statecraftmen ambao ni watu muhimu kwenye nyanja za uchumi,mambo ya kijamii,siasa nk..
Hakuna nchi iliyotulia na kufanya vizuri kama imekosa watu au team hiyo. Je,sisi kama Taifa watu wa hivyo tumewakosa au wapo ila wememezwa na mfumo mbovu au mfumo mbovu umewafanya wasiwe na umuhim na maana tena.
Sio faida serikali kuacha watu wake waote usugu kwa mambo mabaya yanayotokea maana kunaweza siku moja watu hao wakatae kuvumilia na kufanya maamuzi hatarishi au hatari kwa taifa lao.
JE,TAIFA LIMEKOSA WASHAURI,NI AKINA NANI WANAFANYA KAZI YA STATECRAFTMEN? KARIBU
Ahsante,ila wajue kua nasi tupo tunaona,tunashuhudia na kukasilishwa na mambo ya hovyo. Tusitegemee kuendelea hivi alafu tutarajie kujikwamua na mkwamo. Tusikubali wachache watutengenezee taifa na kizazi chenye usugu. Wananchi kulalamika kwakua wanao matukio kama utekeji,mauaji,ufisadi ,kesi zisizo na msingi nk kwamaba wazoee na kukaa kimya. KUTENGENEZA KIZAZI AU JAMII YENYE USUGU NI SUMU (LETHAL POISON)Nimeliongelea sana hili.
Kwa sasa HATUNA watu hao.
Ukipata nafasi msome Niccolo Machiavelli na kitabu chake cha Tne Prince kaeleza uzuri kuhusu craftsmen.
Naweza kukubaliana na wewe kua watu waliopo labda awaendani na wakati na utashi wa taifa siku ya leo na maisha ya leo. Je,ni kweli tumeshindwa kua new breed of leadership? Niliwai kushiriki mjadala huu kua Afrika imeshindwa kutengeneza viongozi wa wakati huu 2nd millenium baada ya akina Nyerere na Nkrumah kumaliza kazi yao.The falling State
Washauri wenyewe wako above 74, wakipewa neema kidogo labda watasogea sogea hadi 2035
Kwahiyo wameona bora wasimkosoe boss wao ili miradi na biashara zao ziendelee kuwa salama 🙌
Tatizo akienda kumuuliza atatekwa na huyo uliyemtajaHizi mada kila siku tumezichoka.!
Hayo maswali kama unataka majibu nenda kamuulize Abduli msituchoshe..
Imekuwa vigumu kutengeneza akina Nyerere wengine kwakuwa Viongozi wote wa sasa ni mafisadi/Wapenda rushwaNaweza kukubaliana na wewe kua watu waliopo labda awaendani na wakati na utashi wa taifa siku ya leo na maisha ya leo. Je,ni kweli tumeshindwa kua new breed of leadership? Niliwai kushiriki mjadala huu kua Afrika imeshindwa kutengeneza viongozi wa wakati huu 2nd millenium baada ya akina Nyerere na Nkrumah kumaliza kazi yao.
Kosa nilao au ata nasisi wanainchi nasio wananchi tumechangia?Imekuwa vigumu kutengeneza akina Nyerere wengine kwakuwa Viongozi wote wa sasa ni mafisadi/Wapenda rushwa
Ndiyo maana hata historia ya ufisadi Nchi hii ulianza kushamiri baada ya Mzee Nyerere kuaga Dunia mwaka 1999
Saivi mtu ni Waziri wa Ardhi tu kwa miezi 20 lakini utakuta anamiliki viwanja 4000 ndani ya kipindi kifupi
Wote tuna makosa, wao waliruhusu hiyo katiba ya mwaka 1952 itumike kutatua changamoto za mwaka 2026Kosa nilao au ata nasisi wanainchi nasio wananchi tumechangia?