ManiTek TV
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 410
- 159
mi naamini kuwa ultrabooks zipo kwenye sector yake tofauti kama vile tablets. na hii ni coz ya bei. ultrabooks zinaanza $1000 wakati mini laptops hazifiki $500, so ultrabooks sio for everybody. hizi ultrabooks ni issue kweli lakini uwezo wa kuzinunua ni kwa wachache while minis ni anybodynimeona baadhi ya discussion kwamba eti pc zipo hatarini kufa kutokana na ujaji wa kasi wa tablet kwangu mimi naon sio kweli kuna mabo mengi sana ambayo computer inaweza kuyafanya lakin pc haiwezi hasa ukizingatia tablet zinawekwa kwa jili ya kubrowse na kufungua progamme ndogondogo kutokana na uwezo wa processor yake lakini computerkutokana na uwezo wake mkubwa wa kurun programme kubwa bado inafanya demand yake kubaki na kuendelea kuboresha sema soko la mini laptop lianapotea na kutekwa na "ultrabook"
nimeona baadhi ya discussion kwamba eti pc zipo hatarini kufa kutokana na ujaji wa kasi wa tablet kwangu mimi naon sio kweli kuna mabo mengi sana ambayo computer inaweza kuyafanya lakin pc haiwezi hasa ukizingatia tablet zinawekwa kwa jili ya kubrowse na kufungua progamme ndogondogo kutokana na uwezo wa processor yake lakini computerkutokana na uwezo wake mkubwa wa kurun programme kubwa bado inafanya demand yake kubaki na kuendelea kuboresha sema soko la mini laptop lianapotea na kutekwa na "ultrabook"
Hii mimi naona soko la Laptop ndio litakuwa hatarini kwani simu zitaendelea coz kuna level ya watu wataendelea kutumia simu.
mi naamini kuwa ultrabooks zipo kwenye sector yake tofauti kama vile tablets. na hii ni coz ya bei. ultrabooks zinaanza $1000 wakati mini laptops hazifiki $500, so ultrabooks sio for everybody. hizi ultrabooks ni issue kweli lakini uwezo wa kuzinunua ni kwa wachache while minis ni anybody
nakubaliana nawe kuwa tunavyoenda mbele ultrabooks zitaja zishuke bei. nakumbuka ultrabook ya kwanza kuiona ilikuwa ya mzee wangu. hii ilikuwa Thinkpad x200 (ilikuwa na duo core celeron processor, 12", 128SSD, 2GB RAM na ilikuja na vista) mashine ambayo ilikuwa inauzwa $1200. kwa hali ya sasa, ultrabooks zina procesoor za i5 na i7 na uwezo mkubwa kuliko za siku hizo (compare na HP Envy 4 anyotumia) na tunavyoenda mbele, watu wengi watapata uwezo wa kuzinunua hizi ultrabooks. ila kwa upande wa kureplace heavy duty laptops na desktops, sidhani hilo swala litaj tokea kwasababu hizi ultrabooks sio chapa kazi kama mashine za kawaida. navyoona ni kuwa tablets, ultrabooks, smartphones na mini laptops ni sawa na boda boda. zinasaidia sana lakini haziji kureplace au kutoa kabisa bajaj (desktops na laptops) as hizi ndo za kazi zenyeweNi imani yangu kwamba Ultrabook zitakuja kuwa standard laptop na mi-laptop minene itatoweka. Kila wakati unavyokwenda mambo mawili yatashusha bei za Ultrabook: 1. Ushindani wa kibiashara, kwa mfano sasa hivi HP wametoa Ultrabook ya £470. (ambapo UK Ultrabook ni kuanzia £800) 2. Kinachoifanya Ultrabook kuwa ghali ni ughali wa malighafi zake kwa vile nyingi ni teknolojia mpya, baada ya miaka kadhaa vi-CPU vidogo vidogo na vi-chips vingine vitateremka bei na pia vitaongezwa nguvu. Na hapo ndipo LAptop zitakapokutana na Tablet. Sijui unaona je?
-nokia mwc walitoa research flani hivi kua kuna watu billion 2.7 wanastahili kua na simu lakini hawana simu.
-nokia ya tochi imeuza simu milion 100
hayo yote yanaonesha si leo wala si kesho soko la simu kufa.
Ulaya kumetoka data za kushtukiza kuwa soko la feature phone linaongezeka kuliko la smartphone
cheki hapa
Smartphone growth is slowing rapidly, but feature phone surprise aids Nokia - Yahoo! News
cha ajabu sasa hv kunatoka visimu vya ajabu ajabu ambavyo vipo simple lakini vinauza balaa. Kwa maoni yangu tablet inaweza replace smartphone lakini will never replace feature phone.
mimi utabiri wangu unanambia vifaa hivi vidogo kama saa, bangili, mikufu ndo vina chance kubwa ya kureplace feature phone
unakuta tablet in stand yake then wanaiwekea external mouse then wanaiwekea chini yake wireless keyboab,mi nadhani hapo wanaitoa kwenye hali ya utablet na kuipeleka kwenye desktop kwa maana ya desktop so hata tablet ikiwa na specification kubwa kiasi gani ikishaanza kuwa na feature za kidesktop kwa maana yangu inapoteza utablet
Tunaona kwa mfano Tableti zinazidi kupata nguvu, katablet kadogo kama Nexus 7 kana quadcore processor, iPad wameshatoa yenye 128 GB, ram tayari Tabelt nyingi ziko kwenye 2 GB, sasa hivi kuna tablet zina full qwerty keyboard, Je huoni kwamba zinaanza kuelekea kuwa na uwezo wa laptop.