Ukwel utabaki pale pale...mda utasema..kila mwez huu walimu wanapewa ndoo..Habar wana jf.
Kunataarifa inazagaa kwamba kuna ajira za Ualimu zimetoka leo hii je kunaukweli juu ya hili?
Wajuzi mtujuze tafathali.
ITV walikua bize na Mkutano wa CCMpressure ya nini tulia.....subiria ITV saa mbili
Hapo jua bado mpaka watoke uko watawaita press/media iliwatangaze...tena kama ni ualimu washule za msingi kabla Xmas wanapangia kwahiyo vuta subira kdgoITV walikua bize na Mkutano wa CCM