Je swala la katiba mpya limefikia wap? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je swala la katiba mpya limefikia wap?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gagurito, Mar 13, 2011.

 1. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ndugu wanaJf, ni muda umepita sasa toka mh. Rais alipotoa msimamo wake, wazo lake juu ya kuanzisha Constitution Review committee itakayo uhisha katiba ya sasa na mahitaji ya wakati huu, na toka lile kongamano la katiba lifanyike pale UDSM ni muda sasa.
  Ndugu wanaJF kwa yeyote mwenye taarifa juu ya hili swala atujuze, twaitaji fahamu juu ya mchakato huu km bado upo or umepotezwa kama kawaida, nimeandika hii coz sioni dalili za hiyo michakato then serikali yenyewe ipo kimya!
   
Loading...