Je sisimu ni kila kitu? Soma hii utoe maoni yako

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
637
250
Nimekua nikifuatilia kwa ukaribu baadhi ya maamuzi ya SISIMU likiwemo lile la kumtema Samwel Sita bila sababu za kimsingi, Kuwatema baadhi ya walioshinda kwenye kura za maoni na kuwaweka baadhi ya watu wanaopenda wao. Kubwa zaidi ni hili la kumtema Tirdo Mhado ambaye alikua mkurugensi wa TBC. Magazeti ya leo yameeleze kua hii ni adhabu kwa kua alivipendelea vyama vya upinzani hasa pale alipoamua kurusha vipindi vya MCHAKATO MAJIMBONI. Tunakumbuka kua SISIMU ilijitoa ktk ngazi zote kwenye mdahalo, kwa hiyo basi walitaka pia TBC iache kurusha vile vipindi lakini Tirdo Alikataa.

Mimi najiuliza ina maana SISIMU hata ikifanya lolote hamna wa kuiuliza au kuipa adhabu nzuri ili kua fundisho?
 

semango

JF-Expert Member
Aug 24, 2010
532
195
aisee huu ndio ubaya wa katiba yetu ambayo inampa raisi mamlaka ya kuteua wakurugenzi wa mashirika yote ya umma.yani rais ni kama Mangu hapa Tz.anachasema yeye ndio final say ktk maswala mengi sana so sidhani kama kuna pakwenda kushtaki.labda tu todo mwenyewe alalamikie kutotaarifiwa mapema juu ya swala la kutokumuongezea mkataba.sheria inataka mwajiriwa apewe taarifa atleast miezi sita kabla ya kuondolewa ofisini
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom