lord atkin
Senior Member
- Sep 30, 2018
- 197
- 683
Kuna vyeo mtu akifikia huwa anahudumiwa na Serikali maisha yoye. Huduma huwa ni;Hivi balozi zetu huko nje ni kichaka/jalala la wastaafu na watendaji wasioendana na kasi ya mabadiliko kama anavyodai Mheshimiwa Rais kuwa Sirro ameshindwa kuendana na kasi ndani ya jeshi la polisi? Kama ameshindwa kuendana na kasi ndani ya polisi ataendana na kasi ubalozi?
Ni sawa ulichokisema, lakini ukumbuke nimesema unamlipa mtu hata akiwa yupo nyumbani kalala kila siku..!! Sasa kumuacha yeye na kumuweka mtu mwingine, maana yake unaingia gharama ambazo hukutakiwa.Swali ni Je ana sifa za anapowekwa? Unaweza ukafikiri unaokoa pesa lakini kumbe Kwa kuweka incompetent ubalozini ukaingia hasara kubwa Kwa kuzorota diplomasia kuliko ungemnunulia hilo gari jipya akalee wajukuu au peleka muswada bungeni punguza marupurupu yasiyo na ulazima yabaki ya muhimu tu
Huo ujasusi wao umesaidia nini kwenye nchi yao iliyochoka ?UBALOZI ni vyeo vya kijeshi/kijasusi. Anaweza tena kwa 100% tunawaambia hapa 90% ya mabalozi wetu wote ni kutoka vyomba vya ulinzi na Usalama.
Huku SADC nchi moja tu ndio imepata mtu ambaye sina hakika kama ni ASKARI (POLEPOLE) Ingawa anaweza kuwa TISS.
Hivyo vyeo vinatoka kwa sababu maalumu, kuangalia uhusiano wa nchi na nchi, ushirikiano wetu upoje na kama kuna hali ya tahadhari juu ya ushirikiano wetu. Hivyo wanaotoka kwenye hizo kada huwa ni haraka kujua.
Kwani ubalozini halipwi mshahara ?nimesema unamlipa mtu hata akiwa yupo nyumbani kalala kila siku..!! Sasa kumuacha yeye na kumuweka mtu mwingine, maana yake unaingia gharama ambazo hukutakiwa.
Kutokuwa na sifa, kunazibwa na mishahara miwili ya kuwalipa watu wawili, msfaatu na mteuliwa ambaye siyo mstaafu..!!
Kwa bongo hapa,hivi vyeo,ubalozi,RC,UDC,wanapewa watu reject kwenye system,waende wakastaafie huko,siro siyo mwanadiplomasia,hajuhi chochote kuhusu diplomasia,mkuu wa nchi hamtaki,anapewa ubalozi akamalizie miaka yake ya kustaafu tu,yaani ccm wamechoka hawajuhi wafanye nini!hawana plan,I wish these people could drop and die.Hivi balozi zetu huko nje ni kichaka/jalala la wastaafu na watendaji wasioendana na kasi ya mabadiliko kama anavyodai Mheshimiwa Rais kuwa Sirro ameshindwa kuendana na kasi ndani ya jeshi la polisi? Kama ameshindwa kuendana na kasi ndani ya polisi ataendana na kasi ubalozi?
Uzoefu unaonesha vyeo vya ubalozi hivi karibuni vimekuwa vikitolewa kama zawadi Kwa wastaafu, au vikitumika kuwapooza viongozi walioondoshwa kwenye nyadhifa fulani au kuwatupa wanasiasa tunaotaka kuwatoa kwenye mainstream politics.
Hii si sawa kwa mustakabali wa maendeleo ya nchi na diplomasia yetu ya uchumi.
Huo ujasusi wao umesaidia nini kwenye nchi yao iliyochoka ?
Ubalozi ni zaidi ya ushushu, huko ushushu wa kazi gani?Sirro ndio syahiki hasa kwakuwa ni shushushu na ndio sifa za mabalozi
Polepole ni bora mara 200 kwa Nyankoro Sirro.UBALOZI ni vyeo vya kijeshi/kijasusi. Anaweza tena kwa 100% tunawaambia hapa 90% ya mabalozi wetu wote ni kutoka vyomba vya ulinzi na Usalama.
Huku SADC nchi moja tu ndio imepata mtu ambaye sina hakika kama ni ASKARI (POLEPOLE) Ingawa anaweza kuwa TISS.
Hivyo vyeo vinatoka kwa sababu maalumu, kuangalia uhusiano wa nchi na nchi, ushirikiano wetu upoje na kama kuna hali ya tahadhari juu ya ushirikiano wetu. Hivyo wanaotoka kwenye hizo kada huwa ni haraka kujua.
Togolani mavura nae tissHuo ujasusi wao umesaidia nini kwenye nchi yao iliyochoka ?
Umeota magego unamdharau Rais Samia kiasi hiki? Kweli Sukuma Gang mnamchukia sana Rais SamiaSirro hajashindwa kuendana na kasi ya mama. Isipokuwa labda mama kashindwa kuendana na kasi ya sirro.
Ikumbukwe mama aliipokea nchi chini ya sirro baada ya magu kufa ikiwa salama bila tishio lolote la uhalifu, panya road wala ugaidi.
Ni sirro ndio aliingia mstari wa mbele kutembeza kichapo kwa magaidi kule kibiti na akatuliza kabisa.
Kwa mara ya kwanza tuliona majeshi yetu yakiwa kitu kimoja chini ya mwenyekiti wao mabeyo. Yaani sirro na mabeyo waliishi kama brothers tofauti na huko nyuma uhasama uliokuwepo kati ya haya makundi mawili.
Pamoja na kuchoka unakoona wewe ila TANZANIA katika nchi 10 zenye uchumi mkubwa Afrika hatukosi, hata kwa maendeleo ya kawaida Tanzania tumeziacha mbali nchi nyingi sana.Huo ujasusi wao umesaidia nini kwenye nchi yao iliyochoka ?
No ni hiyo kauli kuwa ameshindwa kuendana na kasi.Umeota magego unamdharau Rais Samia kiasi hiki? Kweli Sukuma Gang mnamchukia sana Rais Samia