Na kamwe hutokaa ukutane nayo mkuuNdugu zangu nimejiuliza hivi Shetani kuna kitabu chochote ambacho amejitetea kutokana na tuhuma lukuki zinazomkabili? Au yeye ndo hana cha kusema kashakubali kuangushiwa jumba bovu?š
Tupe somo kidogo mkuu, ni kwaniniPost in thread 'Kwanini Kitabu cha Enock kiliondolewa kwenye baadhi ya Biblia?' Kwanini Kitabu cha Enock kiliondolewa kwenye baadhi ya Biblia?
Kesi za upande mmoja hizi mkuudah sasa si uonevu huo mtu uashakiwa bia utetez
Shetani ni nani?Ndugu zangu nimejiuliza hivi Shetani kuna kitabu chochote ambacho amejitetea kutokana na tuhuma lukuki zinazomkabili? Au yeye ndo hana cha kusema kashakubali kuangushiwa jumba bovu?
Unamaanisha shetani ni mtu?dah sasa si uonevu huo mtu uashakiwa bia utetez
ndugu mwandishi sina cha kisema,šššUmesingiziwa sana. Haya amka ujitetee.
View attachment 3589552
Mtumishi Registered_jf kwani shetani ni nani.Yes kwenye kitabu cha Enoko kiongozi wa Mashetani (Azazel?) alimuomba Enoko awaombee msamaha kwa Mungu.
Kesi za upande mmoja ni nini?Kesi za upande mmoja hizi mkuu
Aisee simfahamushetani ni shetani
Ni kesi za upande mmojaKesi za upande mmoja ni nini?