johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,534
Nauliza tu waungwana maana niko kwenye kujifunza.
Kwa mfano, shehe wa mkoa wa Dsm alhad Mussa Salum anaweza kugombea ubunge jimbo la Kawe?
Maendeleo hayana vyama!
Kwa mfano, shehe wa mkoa wa Dsm alhad Mussa Salum anaweza kugombea ubunge jimbo la Kawe?
Maendeleo hayana vyama!