Je; serikali nzima itahamia Arumeru kama Igunga? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je; serikali nzima itahamia Arumeru kama Igunga?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by NIMEKIMBIA CCM, Jan 20, 2012.

 1. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwanza poleni na msiba wa mtanzania mwenze2 Sumari.jamani m2 kama faiza foxy ,ritz na wengne walioajiliwa na ccm kuja kuichafua cdm humu xasa lazma watambue kuwa haisaidii kwan hata ccm wanafahamu uozo mzima walioufanya na ndo mana hata wanapopatwa na pigo kama kufiwa hukosa raha kwa sasa ccm haiombolez 2 kufiwa na Sumari bal imeunganisha na maombolezo ya kupoteza hyo nafas sitaki kusema hcho kiti kitaenda kw nan?kwan aliye na ufaham n lazma atakuwa anajua hvyo ndugu zangu cdm uhakika wa kuitawala h nch upo na ccm kwa xasa wanatapatapa,
  swali langu:je serikali nzma itamia arumeru?
   
 2. T

  TUMY JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha siasa zako uchwara huu ni wakati wa msiba suala la uchaguzi limetoka wapi tena saa hizi acha Unafiki,jiheshimu kama mtu mzima acha kuleta porojo, na pia acha tabia ya kuongea kwa niaba ya chama cha siasa ambacho kwanza hakijakituma na wala hakikutambui.

  Heshimu familia yake ambayo kwa sasa inaomboleza.
   
Loading...