Je, serikali inavyosema sensa ni tarehe 23 Agosti wanamaanisha hyo ni tarehe ya kuanza sensa au ni kwamba sensa ya mwaka huu inafanyika kwa siku moja ambayo itakuwa tarehe 23 Agosti?
Kwa uzoefu wangu sensa ikitangazwa tar 23 hata kama itachukua wiki, ukienda kwenye kaya ya mtu utachukua idadi ya watu walioamka siku ya tar 23 tu hata kama umeenda tar 28 au zaid.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.