S8+ yangu niliiweka Gcam. Picha zake hatari tupu.Mkuu hizi simu za sansung inakuaje ukitumia baada ya nda kama ubora wa camera unapungua na experience na A6+ n sasa A30s....
Na pia kunajamaa ana s8 naona camera haina ubora niliosoma gsm arena japokua tunefanya test zote za kuchek kama fake ipo ok
Jaribu kuangalia kwenye software update. Android 9 imetoka zamani sana kwa hiyo simu.Mimi yangu imefikisha mwaka jana,bado ni piru,inatunza chaji,display nzur....naomb nielekeze tu jinsi ya ku upgrade kwend android 9 niendelee kula maisha
Naomba link ya gcam kwa hyo S 8+S8+ yangu niliiweka Gcam. Picha zake hatari tupu.
s8 inaishia android 9S7edge, na + watu walilalamika sana zina matatizo lukuki sijui fake zilijaa sana au vip.
Ila S7 plane hii wameisifia sana kuwa ni nzuri.
Ushauri chukua S8 ambayo inaweza pokea OS 10
Vp haikukusumbua kwa ukubwa wake?Chukua s8 plus ndio hutojuta kwenye battery.
Nilikuwa huko ila saivi nimehamia kwa mchina Redmi K20 Pro.
So ukiinunua n kma umepoteza pesa zako kizembe??
HapanaVp haikukusumbua kwa ukubwa wake?
Vp hiyo redmi umeichukua bei gan?? make ipo sawa kinyama[emoji33][emoji33][emoji33]Chukua s8 plus ndio hutojuta kwenye battery.
Nilikuwa huko ila saivi nimehamia kwa mchina Redmi K20 Pro.
Kuna mtu alinunulia China. Maana ni Chinese Variant. Alinunuaga around $318.Vp hiyo redmi umeichukua bei gan?? make ipo sawa kinyama[emoji33][emoji33][emoji33]
Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Jamani na mie nina Samsung A20 s nayo mnaionaje
Bei gan?Leta pesa nikuachie Samsung A71
Ongeza pesa nikuachie A71
Utapata mkuu kuanzia A30..
Kwan una duka au unauza used?Ongeza pesa nikuachie A71