Abby Newton JF-Expert Member Joined Nov 12, 2017 Posts 1,301 Reaction score 2,394 Sep 28, 2020 #1 Kwa tuliomuangalia ndugu yetu Diego aka Samagoal akicheza mechi yake ya kwanza akiwa Fenabahce dhidi ya Galatasaray. Je, kuna dalili ya ndugu yetu kuwika kama alivyokuwa Genk?
Kwa tuliomuangalia ndugu yetu Diego aka Samagoal akicheza mechi yake ya kwanza akiwa Fenabahce dhidi ya Galatasaray. Je, kuna dalili ya ndugu yetu kuwika kama alivyokuwa Genk?
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,765 Reaction score 126,676 Sep 28, 2020 #2 Wewe kwa maoni yako kulingana na dakika alizocheza jana, unaonaje mkuu?
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 18,043 Reaction score 25,676 Sep 28, 2020 #3 Mpira wa uturuki akili nyingi sio kule kwa wacheza rugby lazima atawika.
M Mzalendo_Mkweli JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 2,067 Reaction score 1,328 Sep 28, 2020 #4 fenerbahce fc table - بحث Google Mbwana Samatta alicheza weekend iliyopita mechi yake ya kwanza huku Uturuki katika pambano baina ya Gatasaray Vs Fenabahce. Nadhani huu ni mwanzo mzuri Mawazo Hayapigwi Rungu, Mawazo Yanashindwa Na Mawazo Yaliyo Bora Zaidi J.K Nyerere,1988
fenerbahce fc table - بحث Google Mbwana Samatta alicheza weekend iliyopita mechi yake ya kwanza huku Uturuki katika pambano baina ya Gatasaray Vs Fenabahce. Nadhani huu ni mwanzo mzuri Mawazo Hayapigwi Rungu, Mawazo Yanashindwa Na Mawazo Yaliyo Bora Zaidi J.K Nyerere,1988
Powder JF-Expert Member Joined Jan 6, 2016 Posts 5,243 Reaction score 7,100 Oct 5, 2020 #6 Katupia kwenye Mechi ya pili bao 2...