Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,392
- 7,875
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1856086
Achana nao watakupa njaa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huwa najiuliza hivi nchi zote watu wake huwa wako kama sisi wabongo vituko vyetu??View attachment 1856086
Achana nao watakupa njaa.
Bora umejibu kisayansi akili ndogo haitaelewa.Mkiona sehemu inauzwa vitz feki nishitueni, ninaihitaji sana
Hakunaga gari fake iwe ya japana wala wapi.. isipokuwa kuna gari new na used.. hao wajinga wanafikiri magari ni kama simu 🙂🙂🙂Holy Man unasemaje hapa
Ukipata connection ya hizo Vitz fake tujuzane.Mkiona sehemu inauzwa vitz feki nishitueni, ninaihitaji sana
Tuliache gari la Diamond, Ila gari fake zipo. Mtu anaweka engine ya 4 cylinders lakini body, mwandishi na muundo wa six cylinders.Tanzania kuna vituko Sana ni nchi ambayo imejaa vilaza wengi na wajuaji, tangu lini gari likawa feki?