Je, ratiba ya Kikao cha Bunge Novemba kuna mjadala wa ripoti ya CAG au wote walishaombewa msamaha?

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
3,771
9,963
Niliwahi post humu mara kadhaa, Spika wa sasa ni mmoja ya watu ndani ya CCM wanaoombea viongozi wa ufisadi msamaha kwa Raisi. Tulia hawezi ruhusu mjadala wa ufisadi Bungeni na haitakaa itokee kwa sababu yeye ndio anayetumika sana kuwaombea msamaha kwa 'Mama'.

Spika ndio kiongozi aliyeko madarakani anayetumika, wengine wote ni wastafu wakina Kikwete, Mizengo Pinda na Yusufu Makamba.

Tulia Akson anatumika sana kwa sababu inaaminika ana nguvu sana na hakuna atakacho mshauri Rais akatae.

Asilimia 50 ya waliotajwa kwenye repoti ya CAG watakuwa wameombewa msamaha na Tulia na idadi inayobakia imeombewa na Viongozi wengine wastafu.

Hakuna mjadala unao husu ufisadi utakaoweza kujadiliwa bungeni kama Tulia akiwa Spika.
 
Mbona iko wazi kuwa bunge letu ni toothless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…