Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 249
Nahisi kuna mchawi anamroga raisi wetu.
Kuanzia ameingia madarakani mauzauza yamekuwa yakimuandama kuliko raisi mwingine yeyoyote aliyemtangulia.
Mara rais wetu aanguke jukwaani, mara watu wamvae jukwaani na kumkaba, mara msafara wake upigwe mawe, mara msafara wake ung'oke magurudumu, mara shutuma za kufunga watu kwa visa vya mapenzi, yaani ni zengwe moja kwa moja.
Wananchi tuna jukumu kubwa la kumuombea raisi wetu, maana bila maombi yetu wachawi watamuangamiza.

Kwahiyo nchi inaongozwa na vigagula sio? ndio maana macatcat anasumbua kitaani. Karibu itaundwa Wizara ya tiba mbadala na shirki kwa Kikristo ( Ministry of Spiritual Rituals)nani anaweza kumroga? msisahau anatokea Bagamoyo. makamu wake anatokea Pemba. waziri mkuu kwao Sumbawanga. sehemu hizi zote haziwezekani kwa ndumba. nyie mlie tu.