Je, Rais Yupo na Waovu?

Je, Rais Yupo na Waovu?

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
19,768
Reaction score
49,934
Kuna wakati inashindikana kumtambua Rsis wetu anasimamia kitu gani. Analinda haki au yupo kwaajili ya kulinda na kunawirisha uovu.

Kesi ya kubumba dhidi ya Mbowe iliweka wazi uovu wa baadhi ya maafisa wa Polisi. Ilidhihirika wazi maafisa hao wa Polisi ni maharamia dhidi ya raia, wanateka, wanatesa na hata kupoteza watu (komandoo wa JWTZ yuko wapi?)

Kwa kiongozi anayezingatia haki, ni lazima baada ya ushahidi ule wa wazi angeamuru mara moja uchunguzi dhidi ya Polisi wale, na kisha kuchukuliwa hatua.

Jambo la ajabu, Rais Samia aliwatunuku vyeo vikubwa zaidi, ishara ya kuonesha kuwa alikuwa akiwapongeza kwa kazi nzuri ya uovu ule.

Lakini ni Rais Samia huyu huyu aliyewatunuku vyeo maofisa Polisi kwa sababu ya kutenda uovu, kinywani mwake kila mara anatamka umuhimu wa Polisi na mawakili kulinda haki!

Tunamwomba Rais wetu, kauli zake zishibishwe na matendo. Wala asiwe popo, si ndege si mnyama. Asimame upande mmoja kwa uthabiti, asiwe vuguvugu, aamue kuwa moto au baridi.
 
Tatizo ni kukosa nia thabiti kwa viongozi wetu. Mbele ya umma wanasema hivi wakiwa wenyewe wanatenda tofauti na wakiacha madaraka wanageuka tena. Nyerere na vijana wajeuri wanao uliza maswali, yeye mwenyewe ukimuuliza maswali magumu utakiona. Mkapa na tume huru ya uchaguzi alipokuwa raisi hetukumsikia. Kikwete na katiba mpya akageuza gear angani. Uncle Magu ndio hivyo uchaguzi huu utakuwa huru na wenye usawa yeye kumbe anaplani kuiba chaguzi. Sasa mama ndio huyo anafikiria 2025. Tunaona mengi zaidi.
 
Hivi kumbe
 
Kitendo cha Kingai kuzawadiwa u DCI ni hitimisho kuwa mama yuko na waovu.
Kumpa cheo kikubwa zaidi Kingai wakati mtu mwenye akili timamu alishuhudia uovu wa mtu yule, ni jambo lililomshangaza kila aliye uelewa. Nina hakika hata yeye atakuwa alishangaa!!
 
Tatizo ni kukosa nia thabiti kwa viongozi wetu. Mbele ya umma wanasema hivi wakiwa wenyewe wanatenda tofauti na wakiacha madaraka wanageuka tena. Nyerere na vijana wajeuri wanao uliza maswali, yeye mwenyewe ukimuuliza maswali magumu utakiona. Mkapa na tume huru ya uchaguzi alipokuwa raisi hetukumsikia. Kikwete na katiba mpya akageuza gear angani. Uncle Magu ndio hivyo uchaguzi huu utakuwa huru na wenye usawa yeye kumbe anaplani kuiba chaguzi. Sasa mama ndio huyo anafikiria 2025. Tunaona mengi zaidi.
Hakika, hakuna nia thabiti.
 
Kuna wakati inashindikana kumtambua Rsis wetu anasimamia kitu gani. Analinda haki au yupo kwaajili ya kulinda na kunawirisha uovu.

Kesi ya kubumba dhidi ya Mbowe iliweka wazi uovu wa baadhi ya maafisa wa Polisi. Ilidhihirika wazi maafisa hao wa Polisi ni maharamia dhidi ya raia, wanateka, wanatesa na hata kupoteza watu (komandoo wa JWTZ yuko wapi?)

Kwa kiongozi anayezingatia haki, ni lazima baada ya ushahidi ule wa wazi angeamuru mara moja uchunguzi dhidi ya Polisi wale, na kisha kuchukuliwa hatua.

Jambo la ajabu, Rais Samia aliwatunuku vyeo vikubwa zaidi, ishara ya kuonesha kuwa alikuwa akiwapongeza kwa kazi nzuri ya uovu ule.

Lakini ni Rais Samia huyu huyu aliyewatunuku vyeo maofisa Polisi kwa sababu ya kutenda uovu, kinywani mwake kila mara anatamka umuhimu wa Polisi na mawakili kulinda haki!

Tunamwomba Rais wetu, kauli zake zishibishwe na matendo. Wala asiwe popo, si ndege si mnyama. Asimame upande mmoja kwa uthabiti, asiwe vuguvugu, aamue kuwa moto au baridi.
Haki inayoongelewa ni kulinda dhuluma na kuitetea. Haki inayoongelewa ni upendeleo kwa tabaka tawala na familia zao. Au hujasikia kuwa kuna waziri mkubwa aliingiza makontena ya vitenge na akakwepa kodi? Kuwalinda wakubwa na madhambi yao ndio haki inayoongelewa
 
Watakuja vichaa hapa waseme tatizo ni Magufuli, halafu waanze kujazana upepo kama kondoo.

😀😀😀
Kina Erythrocyte, Salary Slip na Mshana jr
 
Kuna wakati inashindikana kumtambua Rsis wetu anasimamia kitu gani. Analinda haki au yupo kwaajili ya kulinda na kunawirisha uovu.

Kesi ya kubumba dhidi ya Mbowe iliweka wazi uovu wa baadhi ya maafisa wa Polisi. Ilidhihirika wazi maafisa hao wa Polisi ni maharamia dhidi ya raia, wanateka, wanatesa na hata kupoteza watu (komandoo wa JWTZ yuko wapi?)

Kwa kiongozi anayezingatia haki, ni lazima baada ya ushahidi ule wa wazi angeamuru mara moja uchunguzi dhidi ya Polisi wale, na kisha kuchukuliwa hatua.

Jambo la ajabu, Rais Samia aliwatunuku vyeo vikubwa zaidi, ishara ya kuonesha kuwa alikuwa akiwapongeza kwa kazi nzuri ya uovu ule.

Lakini ni Rais Samia huyu huyu aliyewatunuku vyeo maofisa Polisi kwa sababu ya kutenda uovu, kinywani mwake kila mara anatamka umuhimu wa Polisi na mawakili kulinda haki!

Tunamwomba Rais wetu, kauli zake zishibishwe na matendo. Wala asiwe popo, si ndege si mnyama. Asimame upande mmoja kwa uthabiti, asiwe vuguvugu, aamue kuwa moto au baridi.
Rais wetu ni mwenyekiti wa genge la wahuni na mafisadi wauza ngada na waarabu wanao amini kuwa tz bara na zanzibar ni mali yao
 
Kuna wakati inashindikana kumtambua Rsis wetu anasimamia kitu gani. Analinda haki au yupo kwaajili ya kulinda na kunawirisha uovu.

Kesi ya kubumba dhidi ya Mbowe iliweka wazi uovu wa baadhi ya maafisa wa Polisi. Ilidhihirika wazi maafisa hao wa Polisi ni maharamia dhidi ya raia, wanateka, wanatesa na hata kupoteza watu (komandoo wa JWTZ yuko wapi?)

Kwa kiongozi anayezingatia haki, ni lazima baada ya ushahidi ule wa wazi angeamuru mara moja uchunguzi dhidi ya Polisi wale, na kisha kuchukuliwa hatua.

Jambo la ajabu, Rais Samia aliwatunuku vyeo vikubwa zaidi, ishara ya kuonesha kuwa alikuwa akiwapongeza kwa kazi nzuri ya uovu ule.

Lakini ni Rais Samia huyu huyu aliyewatunuku vyeo maofisa Polisi kwa sababu ya kutenda uovu, kinywani mwake kila mara anatamka umuhimu wa Polisi na mawakili kulinda haki!

Tunamwomba Rais wetu, kauli zake zishibishwe na matendo. Wala asiwe popo, si ndege si mnyama. Asimame upande mmoja kwa uthabiti, asiwe vuguvugu, aamue kuwa moto au baridi.
Sifa zilizopelekea atunukiwe udaktari wa heshima wa falsafa pale UDSM zimetaja kuwa Dkt. Mteule amefanya mambo makubwa sana na katika muda mfupi wa uongozi wake, na amekuwa akijitolea kwa moyo wake wote kuwahudumia wananchi wake.

Lakini sifa hizi zinamiminwa sana kwake na kundi makada waouvu wa CCM. Pasipo kupindisha maneno, kwa kuwa CCM ni kichaka cha maovu, basi ni dhahiri kabisa yeye yupo upande wa waovu.
 
Back
Top Bottom