Beautiful Nkosazana
Senior Member
- Oct 4, 2016
- 176
- 660
Defection is the desertion of one's country or cause in favor of an opposing one.
Edward Snowden mfanyakazi wa shirika la kijasusi la marekani alikimbia nchi yake na kwenda Russia ambapo Russians wanampa siri na kuanza kuzimwaga bila hiyana.
Kayumba Nyamwasa, mkuu wa zamani wa idara ya ujasusi wa rwanda alikimbia nchi yake akitokea ubalozi India na kwenda kuishi South Africa, bila kusahau kisa cha Partick Karegeya ambaye mwishoe akaja kuuawa.
Munir Redfa rubani wa ndege za jeshi la Iraq aliyetoroka na ndege aina ya MIG-21 kutoka Iraq mpaka Israel baada ya kushawishiwa na magaidi ya mossad. click here: Operation Diamond - Wikipedia, the free encyclopedia
Visa ni vingi sana na siwezi kuviandika vyote humu, ila swali langu la msingi ni hili hapa;-
Je, Rais wa nchi, kama vile Mahmoud Ahmadinejad wa Iran baada ya kustaafu hawezi kuitoroka nchi yake ya Iran na kuhamia kwa mahasimu wao Israel ama Marekani kama wanavyofanya majasusi? na endapo itatokea kipi kitaendelea.
Ninakaribisha maoni na uchambuzi